Okonkwo wisdom | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Okonkwo wisdom

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kwame Nkrumah, Jan 2, 2009.

 1. K

  Kwame Nkrumah JF-Expert Member

  #1
  Jan 2, 2009
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  "When a white man came he said, "kneel down to pray" and we knelt down,then he said, "close your eyes" and we closed our eyes. When we opened them, all the land was gone !!'' - Okonkwo.

  Mafisadi walipokuja wakasema," fungeni mikanda hali mbaya" tukafunga mikanda, wakasema " tufanye kazi kwa bidii" tukafanya kazi kwa bidii, wakasema "msisahau kulipa kodi" tukalipa kodi. Tuliposhtuka tukakuta ATC imekufa, TRC inachechemea, bilioni moja inaitwa vijisenti, shule hazina walimu na waliopo hawapati mishahara, tukagundua mikanda tumefunga sisi tu, wao shime imejaa wanalegeza mikanda.
   
Loading...