Okoa ndoa hii

ww unahofia nywele etc? kwa utaratibu wa viasili/genes, mtoto anaweza kurithi chochote kutoka vizazi ishirini vilivyopita. hata babu yako hajui vizazi kumi vilivyopita,na huyo mume nae halikadhalika! acheni kujistress,kwanza mtoto anaweza kuwa switched at birth,eboo!hosp zetu azembe sana!
 
Ni kawaida yenu kukimbilia kwenye neno malaya nyie huwa mnaitwa nani mnavowapelekeaga wake zenu watoto mliozaa huko nje tena wengine bila haya sio mmoja ...hata mama tofauti.

Hiyo ni element ya Umalaya. Alivyokuwa anajikumbushia kwa huyo chotara Zimbabwe nafsi ilikuwa haimsuti kwamba anamhujumu Mpenzi wake wa Ndoa? Akina dada acheni kutufanyia hivyo, kama unajua mme wako mtarajiwa ana mapungufu kwa nini ukubali kuolewa naye halafu unamsaliti kwenye ndoa? Mtachomwa kwenye jehanamu na mkisikia kiu mtanyweshwa lami inayochemka. Very dissapointing, limtu linakwenda kufanya ngono zembe, hata hali-negotiate kufanya ngono salama kwa kuhofia familia yake, leo limejaa kitoto ambacho si ajabu kinaumwa pamoja na yeye ndo anaomba ushauri. Hakuna ushauri hapa, hayo ndo matokeo ya dhambi na unasubiriwa kwenye hukumu ya milele ambayo ninaamini itakuwa kali sana kwako.
 
Hiyo kesi ni ngumu, kwa jinsi anavyopendwa anaweza kuuawa mambo yakiwa ovyo!
 
ww unahofia nywele etc? kwa utaratibu wa viasili/genes, mtoto anaweza kurithi chochote kutoka vizazi ishirini vilivyopita. hata babu yako hajui vizazi kumi vilivyopita,na huyo mume nae halikadhalika! acheni kujistress,kwanza mtoto anaweza kuwa switched at birth,eboo!hosp zetu azembe sana!

.......kumbe ndo mchezo wenu huu eeh.............?
 
hapa hakuna cha kuokoa ndoa ila alichopanda mwache avune .. kwanza si mstaarabu maana haiwezekani week ikushinde kuvumilia na hata kama ulishindwa matangazo mengi wanashauli walau watu watumie condom yeye alidhan condom ni kwa ajili ya ukimwi tu ?? ina maana yeye hata kalenda haijui kutumia??? na kama aliona fahari ya mimba ni kubwa basi asubiri aibu
 
Sina uhakika, ila kuna mtu aliniambia: 78% ya first borns (wazaliwa wa kwanza) sio ya mume!!!
 
Aanze kumpa kozi ya biology, genetic relation. amwambie bibi wa kizazi cha kumi nyuma alikuwa na element za kiarabu, na hivyo akiona mtoto kazaliwa ana element hizo asishituke aone bibi yao karudi.
Dunia ina mambo sana hii.
 
Huyo mdada bado ana akili za kikoloni, anahisi akizaa na huyo chotara basi maisha yake yatakuwa super. Na sikweli wakati anauza game eti alikuwa hakumbuki ndoa yake, huyo mdada ana mipango yake.
 
Ni kawaida yenu kukimbilia kwenye neno malaya nyie huwa mnaitwa nani mnavowapelekeaga wake zenu watoto mliozaa huko nje tena wengine bila haya sio mmoja ...hata mama tofauti.
Duuuuuuuuh!
 
Amelikoroga akubali kulinywa............aombe Mungu huyo bwana apofuke macho kabla mtoto hajazaliwa...
 
Wakati anamumbushia hakukumbuka ana ndoa leo ndo anataka kuokoa??!

Aamue kumwambia mumewe ukweli ili wasije wakakabana kabari hosp au anyamaze kusubiria mtoto azaliwe ili kama hafanani sana na ex aendelee na uongo wake.Ila akae akijua vyovyote vile hiyo ndoa ndo kashaimwagia mchanga. na kuuondoa haiwezekani....cha muhimu atafute jinsi ya kudeal na mtokeo yanayoweza kujitokeza mbeleni..KUACHIKA likiwa moja wapo.

ni mbay azaidi pale mwanaume atakapoenda hospitali na mama yake na dada zake ili wamchukue huyo Mkwe/wifi alafu anatoka Chotara,
sipati picha
 
Ni kawaida yenu kukimbilia kwenye neno malaya nyie huwa mnaitwa nani mnavowapelekeaga wake zenu watoto mliozaa huko nje tena wengine bila haya sio mmoja ...hata mama tofauti.
Ukimwona mwanaume anakuletea mtoto wa nje dunia ya leo ujue huyo ni zuzu. Hii siyo dunia ya kumwamini mwanamke mpaka kulana naye pekupeku. Hofu ya Maambukizi na kuiepnda familia vinawatawala wnaume wengi wa dunia ya sasa. Huyo aliyekubali kuliwa pekupeku na rafiki anayezurura akitengeneza barabara bila kujali afya yake na ya mpenziwe ametenda kosa ambalo halivumiliki.
 
Ni kawaida yenu kukimbilia kwenye neno malaya nyie huwa mnaitwa nani mnavowapelekeaga wake zenu watoto mliozaa huko nje tena wengine bila haya sio mmoja ...hata mama tofauti.
Ukimwona mwanaume anakuletea mtoto wa nje dunia ya leo ujue huyo ni zuzu. Hii siyo dunia ya kumwamini mwanamke mpaka kulana naye pekupeku. Hofu ya Maambukizi na kuiepnda familia vinawatawala wanaume wengi wa dunia ya sasa. Huyo aliyekubali kuliwa pekupeku na rafiki anayezurura akitengeneza barabara bila kujali afya yake na ya mpenziwe ametenda kosa ambalo halivumiliki.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom