Uwezo Tunao
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 6,942
- 1,190
Hakika tumeona MASALIO YA VIJANA kule ndani ya CCM waliotokana na KOO ZA KI-UTWALA ndani ya chama hicho wakionyeshwa mlango nje.
Hawa ni pamoja na Deo Filinkujombe (kujitanabaisha kuwa ni kijana mwenye fikra huru asiyekubali kufungiwa ndani ya jela ya itikadi za ki-CCM), Hussein Bashe (shida ni kumpiga konzi la kisiasa mtoto wa mfalme kule Iringa) pamoja na Khamisi Kigwangalla (tatizo uhusiano na mgomo wa madaktari).
Ndani ya CCM ya hivi sasa vijana wasiotokana na koo za kiutawala ndani ya chama hicho kamwe hawana chao tena na tayari wamebambikiziwa nembo ya kudumu kama OIL CHAFU ambao umuhimu wao ni siku ya uchaguzi tu - kupiga kura na kuondoka zao.

Filikunjombe ni Oil chafu??!