Oil chafu kwa matumizi ya vyama vya siasa yatayarishwa

Status
Not open for further replies.
Wanaochujwa ccm ni wale ambao hawatokani na mtandao uliomweka madarakani bwana mkubwa, na hivyo wao ni 'victims' wa 'situation'. Hawa wanaambiwa waondoke na wajiunge na vyama vya upinzani hata sasa. Lakini wale wenye impact kubwa kwenye chama, hata wakiwa na tuhuma kubwa namna gani kamwe hawawezi kutolewa, operesheni yoyote ile. Watu kama Chenge, E.L,.... Hawa imeshindikana kuondolewa hata wewe unayejiita genious brain hili unalijua. Kadhalika, wale wote walioonekana kuikosoa serikali hadharani hawajasalimika. Kimsingi ni kama vile oili safi kidogo imechujwa na kuondolewa, na ile chafu kabisa imeachwa kwenye injini.... Injini haitasalimika. Kwa hiyo kwenye hoja yako ya msingi, the vice versa is true!
 
Kutokana na chama cha mapinduzi kuchuja wagombea wa nafasi mbali mbali za kisiasa na kuwa acha wengi wao kutokana na sababu mbali mbali zikiwemo za utovu wa nidhamu na kutaka madaraka zaidi ni dhahiri shahiri kuwa watu hao waliomwagwa wana jiandaa kuhamia vyama vya upinzani na hasa hasa cdm. Mwenyekiti wa ccm ameisha wala go ahead yakuhama kwenye chama hicho dume na tawala.

Kwa muktadha huo basi hii haina Shaka kuwa vyama vya upinzani vitachukua oil CHAFU ya ccm km ilivyo Ada Yao siku zote.

Futa hiyo kauli kwenye RED!
 
Wanaochujwa ccm ni wale ambao hawatokani na mtandao uliomweka madarakani bwana mkubwa, na hivyo wao ni 'victims' wa 'situation'. Hawa wanaambiwa kabisa watoke sasa wajiunge na vyama vya upinzani hata sasa. Lakini wale wenye impact kubwa kwenye chama, hata wakiwa na tuhuma kubwa namna gani kamwe hawawezi kutolewa, operesheni vua gamba.... imeshindwa kuwang'oa. Watu kama Chenge, E.L,.... Hawa imeshindikana kuondolewa hata wewe unayejiita genious brain hili unalijua. Kadhalika, wale wote walioonekana kuikosoa serikali hadharani hawajasalimika. Kimsingi ni kama vile oili safi kidogo imechujwa na kuondolewa, na ile chafu kabisa imeachwa kwenye injini.... Injini haisalimika. Kwa hiyo kwenye hoja yako ya msingi, the vice versa is true!

Ujumbe unajitosheleza
 
Watakuwa wamechukizwa na Ccm kuendeshwa kwa misingi ya kifamilia zaidi ,wewe fikiria mtoto wa malecela alikuwa Huko ughaibuni muda wrote Leo yeye Ndio anateuliwa na waliokifia chama wanatupwa kova wao sio familia za vigogo, fikiria tena mwenyekiti JK anakaa kupitisha jina la mkewe,mwanaye na mdogo wake na kuwaacha wengine wana haja gani ya kutekeleza kukaa Ccm?

Fikiria MAdabida mtu na mke! Malecela KIlango na mwanaye LE mutuz , kawawa kaka na dada, na wengineo kibao , Hal walalahoi wabakie Ccm kwa lipi? Watakuwa lazima wamechoka kwani wameumizwa na kudhalilishwa sana , nawashauri wao wasiendelee kubariki huo uovu na unyanyasaji wa aina hiyo.

Kaka angalia na upande wa pili wa shilingi...

Ndesamburo ni mbunge mtoto wake naye ni mbunge, Mkwe wake naye ni mbunge, Mke Mkubwa wa Dr Slaa naye ni mbunge, Tundu Lissu ni Mbunge dada yake naye ni mbunge dada yake mbowe wa ubatizo naye ni mbunge.
 
Kaka angalia na upande wa pili wa shilingi...

Ndesamburo ni mbunge mtoto wake naye ni mbunge, Mkwe wake naye ni mbunge, Mke Mkubwa wa Dr Slaa naye ni mbunge, Tundu Lissu ni Mbunge dada yake naye ni mbunge dada yake mbowe wa ubatizo naye ni mbunge.

Acha kupotosha, kwanza hakuna mtu Anaitwa dada aw ubatizo hiyo ni pumba, pili najiuliza kuwa Kama JK alikaa na kupitisha jina la mkewe na mwanaye wapite bila kupigwa au alitoka nje , na je jina la mdogo wake we kuzaliwa alipitisha yeye AMA hakushiriki. Tatu Mbona Anna MAlecela na Le mutuz mtu na mama wamepitishwa wakati Huyu mtoto wa malecela hakuna hi kukaa nchi ni said I ya kurejea mwezi chini ya mitatu iliyopita amekifanyia nini chama AMA Ndio watoto wa vigogo wanaandaliwa nafasi hata Kama Hawapo? Pia familia ya Kawawa yote Ndani , madabida make na mume wote Ndani , hivi vijana kutoka familia maskini fursa zao ni lini?

Na nakuuliza tena wewe ni CCM ipi? Asilia, kampuni,familia BMW au ni matumaini?
 
Mbona unaweweseka???!!!!!!! Tulia tuone hao mnaowaita oil chafu watakachowafanyia
hili lichama limeshakuwa taasisi ya kurithisha watoto na ndugu wa vigogo
 
Mie naona Mwenyekiti NDIYE OIL CHAFU! Hivi JKM pamoja na udhaifu wake ameitendea nini NCHI ambayo hajui chanzo cha umasikini wake kulinganisha na Nimrod Mkono alichotengeneza kwa jimbo lake?
 
Kutokana na chama cha mapinduzi kuchuja wagombea wa nafasi mbali mbali za kisiasa na kuwa acha wengi wao kutokana na sababu mbali mbali zikiwemo za utovu wa nidhamu na kutaka madaraka zaidi ni dhahiri shahiri kuwa watu hao waliomwagwa wana jiandaa kuhamia vyama vya upinzani na hasa hasa CHADEMA. Mwenyekiti wa CCM ameishasema wa-go ahead ya kuhama kwenye chama hicho dume na tawala.

Kwa muktadha huo basi hii haina Shaka kuwa vyama vya upinzani vitachukua oil CHAFU ya CCM km ilivyo Ada Yao siku zote.

Hivi hata yule wanamuita philip wa huko iringa naye ni oil chafu
 
Hakuna shida, waje tu CDM tutawasafisha wawe watanzania wema. Tatizo ccm wenyewe ndo mmewafanya wawe wachafu kwa kuwaacha wawe mafisadi/wezi. Sasa wanataka kujisafisha mnaona ni bora muwatose maana jadi yenu nyie ni lazima mwanachama awe na rekodi ya kuiba mali ya umma. Tunawataka waje haraka CDM tuwafunde kuwa wazalendo kwa nchi yao. WOOOOTE MTAKAOACHWA NA HAO MAFISADI WA ccm NJOONI CDM TUWAFUNDE UZALENDO, KIKUBWA MUWE TAYARI KUBADILIKA.
 
Kaka angalia na upande wa pili wa shilingi...

Ndesamburo ni mbunge mtoto wake naye ni mbunge, Mkwe wake naye ni mbunge, Mke Mkubwa wa Dr Slaa naye ni mbunge, Tundu Lissu ni Mbunge dada yake naye ni mbunge dada yake mbowe wa ubatizo naye ni mbunge.

mkuu hapa umewashika pabaya, usitarajie majibu ya kueleweka zaidi ya povu.
Ndomana nasema mageuzi tz bado sana, wote wachumia tumbo.
 
Kuna haja ya kumtafuta Ponda ate tee waislam , imekuwaje list ndefu ya wakubwa jeshini kuna waislam wasiozidi 5 tu ina maana huko jeshini hakuna waislam? Hahahaha na uteuzi Wa kupandisha vyeo kafanya JK this time maneno ikulu kabisa Ponda umesoma haya au ni Ndalichako tu wamtaka?
 
Hivi sasa ni rasmi kwamba CCM ni tawala na miliki rasmi ya MAFISADI 100 %.

Hili hadi hivi sasa limedhihirishwa na kitendo cha kinafiku kwa mapach watatu waliokua wafukuzwe na Mkama wakipandishwa vyeo zaidi na zaidi kwa kazi nzuri huko nyuma dhidi ya WaTanzania.

Kutokana na chama cha mapinduzi kuchuja wagombea wa nafasi mbali mbali za kisiasa na kuwa acha wengi wao kutokana na sababu mbali mbali zikiwemo za utovu wa nidhamu na kutaka madaraka zaidi ni dhahiri shahiri kuwa watu hao waliomwagwa wana jiandaa kuhamia vyama vya upinzani na hasa hasa CHADEMA. Mwenyekiti wa CCM ameishasema wa-go ahead ya kuhama kwenye chama hicho dume na tawala.

Kwa muktadha huo basi hii haina Shaka kuwa vyama vya upinzani vitachukua oil CHAFU ya CCM km ilivyo Ada Yao siku zote.
 
Dr slaa alichakachuliwa ccm, kaenda upinzani, ona sasa alivyo mwiba kwa hicho chama tawala.
 
Wale MAPACHA Watatu waUFISADI waliokua wajipime kuondoka chamani kwa kashfa nzito dhidi ya umma wa Tanzania sasa WAMEPIMWA NA CCM na kupandishwa vyeo vizito na kuonekana leo hii kuwa ni OIL SAFIIIIIIII ndani ya chama na pia kusimikwa kuwa ni Makamanda wa kukipigania chama hiki kwa mtaji wa fedha za Uswisi.

Kambi ya upinzani, hoja nzito ajabu hiyo kutumika kwenye uchaguzi ujao dhidi ya Magamba.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom