Sijaona la maana hapa, habari gani isiyo na kichwa wala miguu. Weka vitu wazi tukuelewe, sasa unaleta taarabu wamfumba nani sasa. Kama umelewa kalale, habari gani ya kibinti dume zima. aibu hiyo, ng'ombe wewe!

hii kitu kwa presha ya bunge wangekuwa na uwezo wa kupuuzia,ila presha ya nje seems ina nguvu kuliko ya ndaniThubutuuuuu!! watu washapigiwa SIMU warejeshe v8 zetu....
ha ha ha kwa joto lilivyo JK hana ubavu Wa kumwacha MTU maana angewaacha kungerudisha mjadala bungeni kitu ambacho hakitamaniwi tena.....
hii kitu kwa presha ya bunge wangekuwa na uwezo wa kupuuzia,ila presha ya nje seems ina nguvu kuliko ya ndani
Kama hujaona la maana unafwata nini? rudi ukapewe haki yako na mkeo akili zako hapa haziwezi kitu.
Hahaa haaa sasa kama alijiandaa kuwasafisha kazi kwake
Obama is watching ...
Braza nini kinaendelea hapa? Manake hata sielewi....
Samahani mkuu ili ni jukwaa la siasa wala si la mafumbo tunaomba fumbo lako lihamishiwa kwenye jukwaa la habari mchanganyiko ama sport entertaiment. No double standard rule in JF hopeful u will held it responsibly
Braza nini kinaendelea hapa? Manake hata sielewi....
Ushaambiwa mawaziri wote wameambiwa warudishe V8 dar haraka iwezekanavyo.
Kuna hot news kuhusu kenge Wa ESCROW kuchunwa ngozi....,,,
wewe soma post moja baada ya nyingine utajua nini kinaendela hapa?Wapi mtoa mada kasema uliyosema hapo juu???
Kuna hot news kuhusu kenge Wa ESCROW kuchunwa ngozi....,,,
Wapi mtoa mada kasema uliyosema hapo juu???
Tatizo watu wanamu-underestimate JK... kama JK aliweza kumtosa Lowassa, hawezi kushindwa kumtosa yeyote yule miongoni mwa hawa walio kwenye serikali yake! Hakuna hata mmoja miongoni mwao anayemkaribia EL kwa vile alivyokuwa na JK... Membe, ni kama ana-force tu lakini sio kivile!