Oh, Madonna...

Fyi, hiyo bra ni mama nibebe. Haipasi bra kutokezea juu ya kivazi kwa upande wa mgongoni. Unless fashion zimenipita aisee. Bra can be shown in the front, not in the back.
"Bra malfunction" wapi? Kila kitu kiko rehearsed and well prepared for!
 
nampenda sana huyu mama ni mtu mzima ila anajua kujitunza utafikiri ana miaka 26 kumbe ni 54 na sijui nini siri yake kuna video yake ya GIRL gone wilde anacheza balaa namfurahia, mama zetu utakuta wamezeeka balaa
 
huyu mama hawaonei aibu watoto wake? lakini anyway yuko kwenye Freeworld ya kwao America.
 
Back
Top Bottom