Oh,Fustk!whta's next?

mbona sioni picha hiyo au na wewe ni mzee wa magumashi??????
 
Jamaa alipopewa hiyo T-shirt, akaona sio dili akaifanya ya kupigia kazi.
 
Hiyo inaitwa MAISHA BORA KWA KILA ****.
 
Hiyi tisheti inawakilisha utaahira wake na hapo likipewa ubwabwa litachagua magamba tena.
 



Hiyo tshirt

Date of Manufacture: October 2010
Date of Expire:October 2015
Approved by: TBS and TFDA

Ni kwamba iko fit for human consumption
 
mbona sioni picha hiyo au na wewe ni mzee wa magumashi??????

Mkuu, imegoma ku-upload..hata nikijaribu pasting haikubali...naendelea kutafuta muafaka lakini usikonde.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…