Ogopeni mabamedi...

Ogopeni mabamedi...

Mm nisingekubali angetoa tu kwa kibano ningempa mbwa mwizi.
 
MIMI NINA VODA NIPE TIGO NIPIGE KISHA NIKUHONGE iPHONE...hahaaa usichezee tigo wewe, very expensive, 1M?
 
Wabongo hapo ndo tunapokuwa watu wa kufurahisha, yani mleta mada angekuwa ametoa hayo maelezo mahakamani tungemwita "SHAHIDI" ila kayaandika hapa unamwita "m-mbea".

hii haina tofauti na wale watu ambao wakisema kitu wanataka ukubali tu, ukiwahoji wanakwita "m-bishi"

Dah! Mkuu kumbe na wewe ni M-BISHI. Kimsingi sijaelewa lengo la mleta uzi ama anataka tujue dada zetu wanaouza bar ndivyo walivyo wote, au anamtetea huyo mzinzi kwa kuwa hakustahili hilo likilo mpata, ama anatoa tahadhari kwa wale wanaowatafuna barmaids wawe makini....!!?
 
Jamani mabaamedi sio wabaya kiivyo...huyo alimpata mmoja wrong number ndo unatuaminisha uongo hapa! (hiyo ni falacy ya hasty generalization). Ungetoa mifano kumi na kuendelea labda.

Pili, jamani, hadi baamedi unampeleka nyumbani kwako? vijana...tunaelekea wapi sasa huku? Kama pesa huna tulia tu utumie Revola...huu ubahili si mzuri!!!!!
 
Back
Top Bottom