Hapama my bro! Nilichokusudia ni kuwainspire vijana wenzangu kusoma comb ngumu.
Ahsante komredi! Umeshindwa kuonesha udhaifu wa hoja yangu, Enewei happy Easter to you.
JF.
Hii ni special kwa vijana wenzangu ambao tumemaliza 4m4 ktk kipind hiki kigumu cha Mulugo 2012,
Ni vyema tujue kuwa comb dhaifu huzaa faculty dhaifu, faculty dhaifu huzaa chuo dhaifu, chuo dhaifu huzaa taaluma dhaifu, taaluma dhaifu huzaa ajira/kazi dhaifu na mwisho wa siku ajira/kazi huzaa maisha dhaifu.
Ahsanteni....
Mind keeper...! Sina maana hiyo ila nilichofanya mimi ni kuwainspire vijana wenzangu tusiogope kusoma comb ngumu kama CBG PCB PCM ECA etc ili kuepuka wote kuja kuwa mzigo huko mbeleni hasa ukiangalia na mfumo wa soko la ajira nchini kwani comb ndiyo inayozaa taaluma utakayosomea chuoni.
Nadhani kijana hakulijua hili. Pale UDBS ni mfano mdogo ntakaompa kuna watu wa comb zote kuanzia hizo HKL mpaka PCM wanapiga accounting na watu wanafanya vizuri mpaka basi.kijana kwa ufupi hkl atasoma kitu chochote kasoro udaktari au uinjia. Ni advance pekée ndo tunakariri kuwa ukitaka kuwa accountant soma eca, we ukifika chuo utashangaa mwenyewe
Mind keeper...! Sina maana hiyo ila nilichofanya mimi ni kuwainspire vijana wenzangu tusiogope kusoma comb ngumu kama CBG PCB PCM ECA etc ili kuepuka wote kuja kuwa mzigo huko mbeleni hasa ukiangalia na mfumo wa soko la ajira nchini kwani comb ndiyo inayozaa taaluma utakayosomea chuoni.
kijana kwa ufupi hkl atasoma kitu chochote kasoro udaktari au uinjia. Ni advance pekée ndo tunakariri kuwa ukitaka kuwa accountant soma eca, we ukifika chuo utashangaa mwenyewe
Hiv hata unajua nn maana ya faculty?!
kijana kwa ufupi hkl atasoma kitu chochote kasoro udaktari au uinjia. Ni advance pekée ndo tunakariri kuwa ukitaka kuwa accountant soma eca, we ukifika chuo utashangaa mwenyewe
kwa kumuunga mkono mtoa mada::::::
hapa nikiangalia sioni kama mtoa mada amedharau combs za sanaa ila ameshindwa kutoa hoja kusupport mawazo yake.tukubali tukatae WENGI waliosoma sanaa a-level,walipata div iii kwenye matokeo ya o-level,hii inaonesha kuwa sayansi ni NGUMU kama haupo smart kiasi flani,na ndo mana MARA NYINGI husomwa na wato ambayo ufaulaulu wao ni mzuri::div i & ii(naweza sema hivyo,ikumbukwe nimesema maranyingi)
kwa kumsaidia mtoa mada,kwa hali ya Tanzania sayansi inahitajika zaidi kuliko sanaa,madaktari,walimu wa sayansi,mainjinia,na wengineo
nasubiri kurekebishwa kisomi