mkonomtupu
JF-Expert Member
- Jul 5, 2011
- 441
- 118
Hata Mimi HGE ilihusika hapa na Div 1 yangu ya point 4 Leo ni mchumi mwandamizi serikalini alaf u mtu wa Div 5 ya form 4 anaongea tope inauma. Lakini apuuzwe kwakuwa hajui alisemaloHaya bana,ngoja sie vilaza tuliosoma HGE tujipitie zetu kimya kimya..
Zuzu lile linafikiri HGE kirefu chake ni History..Geography & EnglishHata Mimi HGE ilihusika hapa na Div 1 yangu ya point 4 Leo ni mchumi mwandamizi serikalini alaf u mtu wa Div 5 ya form 4 anaongea tope inauma. Lakini apuuzwe kwakuwa hajui alisemalo
``kichwa maji `` ndo hoja...unataka hoja gani?Kama views zangu zio pejorative basi ni vyema ukanikosoa kwa hoja.
Nahisi atakuwa anajua hivyo, pole yake ni utoto tu akikua ataacha. Mungu amtangulieZuzu lile linafikiri HGE kirefu chake ni History..Geography & English
Yaani hajielew
kula 55JamiiForums,
Hii ni special kwa vijana wenzangu ambao tumemaliza form 4 katika kipind hiki kigumu cha Mulugo 2012.
Ni vyema tujue kuwa comb dhaifu huzaa faculty dhaifu, faculty dhaifu huzaa chuo dhaifu, chuo dhaifu huzaa taaluma dhaifu, taaluma dhaifu huzaa ajira/kazi dhaifu na mwisho wa siku ajira/kazi huzaa maisha dhaifu.
Ahsanteni....
viroba sooooooooo kiongoziPunguza jaziba Mkuu, dogo katoa mawazo yake kwa uelewa wake, vyema ukamjibu kwa hoja sio viroja![emoji78]
JamiiForums,