Mind keeper...! Sina maana hiyo ila nilichofanya mimi ni kuwainspire vijana wenzangu tusiogope kusoma comb ngumu kama CBG PCB PCM ECA etc ili kuepuka wote kuja kuwa mzigo huko mbeleni hasa ukiangalia na mfumo wa soko la ajira nchini kwani comb ndiyo inayozaa taaluma utakayosomea chuoni.
Inspiration can't be delivered in that way. What you did is despise the other group while feeding arrogance to your favorite group. Na hapo ndipo mnapopotezana. Kusema comb flan dhaifu ni uthibitisho tosha kuwa hajakomaa kimawazo.
Waliosoma arts utawajua tu wanamwaga sumu hapa kubalini mkatae hizo ni combination za wadada wanaume njoo pcm PCB cbg na EGM kwa mbali sasa hkl na PCB wapi na wapi simbilisi nyinyi
hahhahahaha mawazo ya watoto ya kijinga kijingaaaaaa.... Mimi nimesoma ART course na nipo vizur.... Subirin mkiingia kwenye soko la ajira ndio mtajua hayo mawazo ya kuzarau kozi za wengine ni mambo ya kizaman
hahhahahaha mawazo ya watoto ya kijinga kijingaaaaaa.... Mimi nimesoma ART course na nipo vizur.... Subirin mkiingia kwenye soko la ajira ndio mtajua hayo mawazo ya kuzarau kozi za wengine ni mambo ya kizaman
Mimi ninaonge na ushahidi ninao hizo combination za kijinga sana kitaani watu wapi kibao wanasota na ukitaka kuamini hivyo angalia wanaolalamika humu jf wengi ni science au art ?? Hkl hii ndo bats kabisa kuna jamaa alipata one yeye alikuwa ni kulala tu sasa PCB Fanya huo ujinga uone tuheshimuni basi jamani