Ogopeni kusoma kombi dhaifu

Ogopeni kusoma kombi dhaifu

AdvocateFi

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Posts
11,492
Reaction score
5,049
JamiiForums,

Hii ni special kwa vijana wenzangu ambao tumemaliza form 4 katika kipind hiki kigumu cha Mulugo 2012.

Ni vyema tujue kuwa comb dhaifu huzaa faculty dhaifu, faculty dhaifu huzaa chuo dhaifu, chuo dhaifu huzaa taaluma dhaifu, taaluma dhaifu huzaa ajira/kazi dhaifu na mwisho wa siku ajira/kazi huzaa maisha dhaifu.

Ahsanteni....
 
Sasa bwana mdogo unapozungumzia kombi dhaifu unaongea kwa fikra ambazo ni yakinifu au?
Inamaana kama lengo la mtu ni kuwa mwanasheria basi akisoma HKL au HGL atakuwa mwanasheria tena yule ambaye ni dhaifu. Si ndio?
 
ndio maana sikushangaa matokeo ya kidato cha 4 kutoa zero nyingi kwani wahitimu wengi ni content base na sio competence base. na mwanzisha hii hoja ni sehemu ya uthibitisho.
 
Kweli mulugo kaua Elimu kijana 4m 4 unakuwa na mawazo ya kipumbavu namna hii hili ni janga(TATIZO UMESOMA WAKAT ELIMU IMESHUKA KIWANGO under Mulugo)Una hisa ndogo sana ya akili kijana wa darasa la 3 anaweza kukushnda ktk kufikiri,una umri wa kuzaliwa mkubwa lakn una uwezo mdogo wa kufikiri sawa na mtoto mwenye miaka 10,POLE SANA KIJANA SIYO WW NI MULUGO,umeshndwa kufkria kwa nn waliweka hz combination kwelili ww n ZUZU!
 
JF.
Hii ni special kwa vijana wenzangu ambao tumemaliza 4m4 ktk kipind hiki kigumu cha Mulugo 2012,
Ni vyema tujue kuwa comb dhaifu huzaa faculty dhaifu, faculty dhaifu huzaa chuo dhaifu, chuo dhaifu huzaa taaluma dhaifu, taaluma dhaifu huzaa ajira/kazi dhaifu na mwisho wa siku ajira/kazi huzaa maisha dhaifu.

Ahsanteni....

Huyu sio kichwa maji, ni kichwa matope. Ni katika zile zero 260, 000
 
Ha ha ha ha ha!!!anataka watu wote wasomee ktu kimoja wote wawe madoctor amesahau kuwa kuna idala zngne znatapwayaa kama IT kweli vijana kama huyu n tatizo!
 
Mind keeper...! Sina maana hiyo ila nilichofanya mimi ni kuwainspire vijana wenzangu tusiogope kusoma comb ngumu kama CBG PCB PCM ECA etc ili kuepuka wote kuja kuwa mzigo huko mbeleni hasa ukiangalia na mfumo wa soko la ajira nchini kwani comb ndiyo inayozaa taaluma utakayosomea chuoni.
 
JF.
Hii ni special kwa vijana wenzangu ambao tumemaliza 4m4 ktk kipind hiki kigumu cha Mulugo 2012,
Ni vyema tujue kuwa comb dhaifu huzaa faculty dhaifu, faculty dhaifu huzaa chuo dhaifu, chuo dhaifu huzaa taaluma dhaifu, taaluma dhaifu huzaa ajira/kazi dhaifu na mwisho wa siku ajira/kazi huzaa maisha dhaifu.

Ahsanteni....

Njaa ikihamia kichwani akili huamia tumboni
 
Kweli mulugo kaua Elimu kijana 4m 4 unakuwa na mawazo ya kipumbavu namna hii hili ni janga(TATIZO UMESOMA WAKAT ELIMU IMESHUKA KIWANGO under Mulugo)Una hisa ndogo sana ya akili kijana wa darasa la 3 anaweza kukushnda ktk kufikiri,una umri wa kuzaliwa mkubwa lakn una uwezo mdogo wa kufikiri sawa na mtoto mwenye miaka 10,POLE SANA KIJANA SIYO WW NI MULUGO,umeshndwa kufkria kwa nn waliweka hz combination kwelili ww n ZUZU!

Proved nothing....! Jaribu kuelewa content ya thread my brother.
 
Kweli mulugo kaua Elimu kijana 4m 4 unakuwa na mawazo ya kipumbavu namna hii hili ni janga(TATIZO UMESOMA WAKAT ELIMU IMESHUKA KIWANGO under Mulugo)Una hisa ndogo sana ya akili kijana wa darasa la 3 anaweza kukushnda ktk kufikiri,una umri wa kuzaliwa mkubwa lakn una uwezo mdogo wa kufikiri sawa na mtoto mwenye miaka 10,POLE SANA KIJANA SIYO WW NI MULUGO,umeshndwa kufkria kwa nn waliweka hz combination kwelili ww n ZUZU!

Huyu kijana sifa inayomfaa ni kumpa jina la 'dead brain idiot'
 
Sasa bwana mdogo unapozungumzia kombi dhaifu unaongea kwa fikra ambazo ni yakinifu au?
Inamaana kama lengo la mtu ni kuwa mwanasheria basi akisoma HKL au HGL atakuwa mwanasheria tena yule ambaye ni dhaifu. Si ndio?

Hapama my bro! Nilichokusudia ni kuwainspire vijana wenzangu kusoma comb ngumu.
 
Huyu jamaa Mungu amsaidie tu msimponde sana kwa kizazi cha facebook na viduku this guy ana akili kiduchu ndo mana hata jammi forum kajiunga wenzie wote wapo facebook wanauza sura na picha zao za kuedit,the problem hajui kama mfumo wa elimu dunia nzima hauna comb dhaifu wala strong one but zina work together to serve the communities with their needs hasa kuhusu maendeleo akili yake ipo close ended msamehen bure
 
Back
Top Bottom