Ogopa sana kifaa kinachoitwa “Wireless Speaker”

Dj jiwe on one and two, paired spika Dungai.
 
Daah’mkuu umetisha sana..


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
:p@Nyamsusa JB!! NIMEKUKUBALI KWA UANDISHI WAKO HUU WA "KIFASIHI" . NATHUBUTU KUSEMA NI AKILI KUBWA TUU ZITAKAZO KUELEWA. BIG UP


 
Mkuu hapa tupo kwenye siasa 100% au umekosea njia!!?
Pili sio lazima iku alert sijuwi kama ulisha wahi kutumia microphone wireless !!?
 
Unamanisha magufuli ndio anasikilizwa dodoma? Kuhusu sakata la CAG?
 
Mkuu hapa tupo kwenye siasa 100% au umekosea njia!!?
Pili sio lazima iku alert sijuwi kama ulisha wahi kutumia microphone wireless !!?
Kweli mkuu nimekosea njia, nahau zimenipita, kumbe mnaomgelea. Spika zileee, dah!! Samahanini sana
 
Umegundua kila kinachofanywa na supika iliyoathirika kinatoka dar ,aisee wireless ni noma ,ila washamba na malimbukeni mbinu zao ni za kishamba sana na kiwango cha chini sana .
 

Huu ujumbe unashabiana na mfumu wa uongozi katika nchi hii.
Unaweza ikawa polisi wanacheza muziki wa DJ ngazi za juu.
Mahakama pia inacheza muziki wa DJ toka LUMUMBA
Bunge na spika DJ huyo huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…