Kindembwile
Member
- Sep 18, 2018
- 62
- 44
Akili kubwa sana hii ya kiuandishi [emoji122]Habalini Wanajanvi.
Zamani zile kabla Tekinolojia haijakua sana hakukua na hizi Wireless Spika zenu za sasa, yaani ili mziki usikike basi Mitambo ilikua ni lazima iunganishwe na Spika kwa kutumia Nyaya.
Sasa siku hizi Spika za kisasa Haziunganishwi kwa Nyaya tena, zinaunganishwa kwa mifumo ya Wireless kama vile mfumo wa Blutooth, au Wi-Fi n.k.
Tatizo la hizi Wireless Spika ni kua zinaweza kuingiliwa na Mitambo tofauti na hivyo Msikilizaji akajikuta anasikiliza mziki usio wa Mitambo yake. Kwa mfano, Spika inaweza kua Dodoma lakini ikaingiliwa ki Blutooth au Ki Wi-Fi na Mitambo iliyopo Dar na hivyo Msikilizaji akajikuta anacheza Mziki wa Dj wa Dar.
Zamani haikua hivyo yaani kama Spika ipo Dodoma basi Msikilizaji atausikia Mziki wa Mitambo ya Dodoma, maana hakukua na njia ya ki Wireless kuunga Mitambo ya Mbali kama ilivyo Leo.
Zamani ilikua Spika ya Dodoma, Mitambo ya Dodoma na Mziki wa Dodoma.
Leo hii ni Spika ya Dodoma, Mitambo ya Dar na Mziki wa Dar.
Kweli Tekinolojia inakuja na Mambo Mapya.
Streaming unajua hufanyaje kazi?Sasa ujue kwamba kwa umbali uliopo kati ya Dodoma ma Dar teknolojia za Bluetooth na WiFi haziwezi kufanya kazi kwa kuifanya wireless speaker ifanye kazi.
Streaming, Wi-Fi, Bluetooth na wireless speakers ni teknolojia tofauti, hasa hasa kwa muktadha wa mada hii.Streaming unajua hufanyaje kazi?
Utakuwa umekulia lumumba huku ni mpenzi wa yanga!Streaming, Wi-Fi, Bluetooth na wireless speakers ni teknolojia tofauti, hasa hasa kwa muktadha wa mada hii.
Kadi yao kwa nyuma imeandikwa kwa mandishi madogo sana bisha kila jambo hata kama hulijuwi!! Viumbe hatari sana hawa mkuu!!Utakuwa umekulia lumumba huku ni mpenzi wa yanga!
Zipo ambazo hazina password inategemea na mmiliki na ndie mwenye maamuzi!!! Lumumba bana kila kitu bisha ata kama hukijuwi!!!!Dahh! Watanzania wengine bwana!! Mkuu, naona Umesahau kuwa huwezi kujiunga katika kifaa chenye Bluetooth bila ya "password"..hii theory uliyoliongea haiwezekani labda mtu aruhusu vifaa viwili vyenye BLUETOOTH au WIFI viwasiliane kwa kutumika namba za Siri (password)..
Acha kuongopea watu
Nimeelewa kuwa wewe ni mgumu kuelewaWewe umeelewa nini
Hahaha, Watanzania kila wafanyalo au watendalo lazima waweke siasa, sasa hapa mambo ya Lumumba yamekujaje??Zipo ambazo hazina password inategemea na mmiliki na ndie mwenye maamuzi!!! Lumumba bana kila kitu bisha ata kama hukijuwi!!!!
Kama hukusoma Literature shuleni lazima utoke kapa hapa......binafsi sijakuelewa mleta maada!