Rudi tena huenda ukawa umeshaelewaMimi sijamuelewa kabisa, Spika ya Dodoma na muziki wa Dar!! Hahaahaaaaaaa yaani nimekaa sijalala, natafakari ya kamati ya mnyakyusa mnyamwezi sijapata jibu. Kweli ukaa na mwizi lazima utakuwa mwizi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana kaelewa ila ni kujitia ujuba ili ionekane haelewi wireless speaker inayozungumziwa ili kuua sooMkuu inahitaji utulivu..usikurupuke kudandia kuchangia..unaweza kuingia mtaroni.
Ukute mtambo ulioko Dar unatumia betri basi unakuwa na ukichaakichaa fulani hiviHabalini Wanajanvi.
Zamani zile kabla Tekinolojia haijakua sana hakukua na hizi Wireless Spika zenu za sasa, yaani ili mziki usikike basi Mitambo ilikua ni lazima iunganishwe na Spika kwa kutumia Nyaya.
Sasa siku hizi Spika za kisasa Haziunganishwi kwa Nyaya tena, zinaunganishwa kwa mifumo ya Wireless kama vile mfumo wa Blutooth, au Wi-Fi n.k.
Tatizo la hizi Wireless Spika ni kua zinaweza kuingiliwa na Mitambo tofauti na hivyo Msikilizaji akajikuta anasikiliza mziki usio wa Mitambo yake. Kwa mfano, Spika inaweza kua Dodoma lakini ikaingiliwa ki Blutooth au Ki Wi-Fi na Mitambo iliyopo Dar na hivyo Msikilizaji akajikuta anacheza Mziki wa Dj wa Dar.
Zamani haikua hivyo yaani kama Spika ipo Dodoma basi Msikilizaji atausikia Mziki wa Mitambo ya Dodoma, maana hakukua na njia ya ki Wireless kuunga Mitambo ya Mbali kama ilivyo Leo.
Zamani ilikua Spika ya Dodoma, Mitambo ya Dodoma na Mziki wa Dodoma.
Leo hii ni Spika ya Dodoma, Mitambo ya Dar na Mziki wa Dar.
Kweli Tekinolojia inakuja na Mambo Mapya.
Habalini Wanajanvi.

Tena subwoofer ya mchina wa kariakooUkute ni subwoofer!! Utakoma kuringa
uwezo wako ni sawa na wabunge wako wa ccm,kujua kusoma na kuandika sio kuelewa maana ya maandishi.
ankili zako fupi mno Maana hujaelewa Kuwa anaongelewa spika wa bunge Ndugai na JPM wa dsm mwanza 😁😃Kuna coverage distance maalum isitoshe haziwezi ingiliana sawa na funguo za milango haziingiliani
Sent using Jamii Forums mobile app
Spika ipo dodoma Mziki upo Dar karibu na Baharbinafsi sijakuelewa mleta maada!
Hawa modes sijui vipi siku hizi, hili bandiko hili ni la jukwaa la mambo ya sayansi na technology maana haya mambo ya Spika za willless, wireless Spika iko Dodoma halafu wireless microphone iko Dar. Watu wanasikiliza Spika ya Dodoma wakidhani mtambo uko Dodoma kumbe ile Dodoma ni Spika tuu, mtambo wenyewe uko Dar.
Kiukweli haya mambo ya wireless ni shida. This is my true story kuhusu adha za wireless nyumbani kwangu.
Mimi na jirani yangu wote wawili tunatumia TV za Samsung Smart TV, za same model, hivyo remote control ambazo ni wireless zinaingiliana, unaweza kuwa unaangalia taarifa habari ya TBC, jirani akipress button ya smart feature kwenye remote yake, kwangu inabadilika.
This is true kabisa na sio fasihi za Wireless Spika ya Dodoma mtambo Dar.
P
Alipo Prof. Asaad Nipo.