Ogopa sana hii kabila

mbona wengi wameufyata?!... hiyo soi ishara nzuri kwa mbwa wa maana!? inakaribiana na jibaba lililovaa kata k...
 
mbona wengi wameufyata?!... hiyo soi ishara nzuri kwa mbwa wa maana!? inakaribiana na jibaba lililovaa kata k...
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Mbwa wa kwenye kubet hawa wanatimua balaa
 
Kwanini uogope sana wakati mbwa mwenyewe ni mwoga, huwakimbia maadui!!
 
Kwanini uogope sana wakati mbwa mwenyewe ni mwoga, huwakimbia maadui!!

THINKING WITH A POLITICALLY ALLIGNED MIND...YOU ARE GIVING A BIG PICTURE OF WE TANZANIANS AT THIS CURRENT STATE....sorry ila sio mchochezi but my simple interpretation of your displayed art-work.

na hiyo ndiyo kazi kubwa ya sanaa..kutoa multiple interpretation to the society.

back to your thread "KWANINI WATANZANIA WAOGOPE WAKATI MBWA MWENYEWE NI MWOGA NA HUWAKIMBIA ADUI ILA HUBWEKA NA KUONYESHA YUPO PALE WANAPOINGIA WENYEJI NA WAKAAZI WA MJI HUO?"

JIBU NI JEPESI SANA....inawezekana kabisa kuwa tunamwogopa mbwa wetu tuliyemfuga kwani anaweza kukuuma au kukungata ili kukuonyesha kuwa ugali unaompa anautumia kutekeleza majukumu yake ya kiulinzi...sema tunalia na mengi pale mbwa wetu anaposhindwa kubweka na kuwangata hao maadui wetu wanaotoka nje na kuja kutuvamia hapa nyumbani kwetu.

na inasikitisha sana kwakuwa mbwa ni wetu...tumemfuga wenyewe tunamuhudumia wenyewe na mwisho wa siku anatungata wenyewe....INAUMIZA SANAAA.
 
Who Cares? Anyway! Umehitimu ile degree maarufu ya uchochezi na uchonganishi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…