Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,834
- 40,649
Ndio namwambia hapa. Yaani hata tofauti ya gharama kama itakuwepo ni ndogo sana na kama ungejenga tofali.Kwa wanaojua gharama za ujenzi wa nyumba,Finishing ya hii nyumba kwenye kuta zake Mpaka ije kwenye format hii tunayoiona,Ni garama Sana ukilinganisha Kama angejengea tofali.Kwanza Naona MTU ukijenga nyumba ya tofali YENYE ukubwa Kama hii ya miti tunayoiona,ya tofali ndo ndo RAHISI ZAIDI halafu inadumu.
Sent using Jamii Forums mobile app