Kule Kwetu
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 3,157
- 1,906
Suicide Mission, I think so...!Hivi ile movie ya zamani ya huyu jamaa aliigiza amewekwa kwenye chupa na mkewe mwishoni akageuka mbwa inaitwaje, naitafuta ila siijui jina. tafadhali kwa anaejua anijuze,
NB: samahani kwa kufungua thread ndani ya comment
Kwa kweli kila siku najivunia na naona fahari kukaa kando na pirika pirika za mapenzi....ni kama vile nimeutua mzigo mzito kichwan na moyoni.......
Kuishi kibachela ni raha sana.....kwani kila kitu kinakuwa under your control.......
Sikirii hata kuoa....na sijui kama tena nitaweza kuishi na mwanamke.........
Mwenyewe unapanga ule nini.....unapanga ndani kwako paweje......na mpangilio wa vitu vyako vinakuwa bora sana.....
Chumbani kwako kunakuwa kama paradiso ndogo.....ni mahali ambapo unatuliza moyo wako na pirika pirika za mji na maisha.....
Muda huu nipo zangu ndani kimya....huku nimeshika kitabu nikiongeza maarifa.....nikisindikizwa na mixing kali za wakina BOYZ II MEN.....Joe Thomas.....R Kelly.....bila ya mkuwasahau wakali blue....kama Ken G....na Bryan Adam.....mimi ni ndani tu......jikoni nikisubiri mchanganyiko wa ndizi na nyama viive nishushie na juice ya embe..........
Its lots of funny here......
MKUU,
UNA UMRI GANI?
Hivi nishakuwa senior Bachelor........!!!! Wacha nitafute mke sasa.bachelor rankings...
18 - 22 yrs - Bachelor I
23 - 26 yrs - Bachelor 2
27 - 29 yrs - Senior Bachelor
30 - 33 yrs - Principal Bachelor
34 - 37 yrs - Deputy Chief Bachelor
38 - 40 yrs - Chief Bachelor
41 - 48 yrs - Bachelor General
49 - 53 sponsor
54 yrs............Field Marshall.
C&P
Teh teh karibu sana, kuna mmoja huyo amazing sana nakuwekea teh.hahha hivi enh... na ntakuja uko unipe binamu, sitaki damu iende mbali
Hujui hata mwanamke ushauri unautoaje? Mambo ya kusadikika? Usipooa unamatatizo hakuna la ziada, oa acha tujue mlishindwana.Mkioa nyie inatosha....tutukuwa tunawapa ushauri wa jinsi ya kuishi na wake zenu......
Wewe ungekuwa wa zamani si ungeoa toka Zamani? Wanawake wa siku hizi wako hivi walivyo kwasababu ya wanaume wa siku hizi, Cut us some slacks mannnnn, ua no different at all.Bora mara 100 kuitwa mchawi kuliko kupata stress kutoka kwa hawa wanawake wa sikuhizi.
ukitoka kwa sponsor unaenda wapi tena?Mimi nilikutana na 49-53 sponsor lkn yeye gharama za kushtukiza alikuwa hazitaki kabisa.
Nakajisogeza mbele mapema sikuona sababu yakupoteza muda.
Achana na Heaven Sent, anataka kuvunja chama letuNajippikia,najifulia,napiga deki. Ingawa mara moja moja natamani awepo mtu anaenisubiri nyumbani.
umetishabachelor rankings...
18 - 22 yrs - Bachelor I
23 - 26 yrs - Bachelor 2
27 - 29 yrs - Senior Bachelor
30 - 33 yrs - Principal Bachelor
34 - 37 yrs - Deputy Chief Bachelor
38 - 40 yrs - Chief Bachelor
41 - 48 yrs - Bachelor General
49 - 53 sponsor
54 yrs............Field Marshall.
C&P
It's lot of funny but ur alone...Kwa kweli kila siku najivunia na naona fahari kukaa kando na pirika pirika za mapenzi....ni kama vile nimeutua mzigo mzito kichwan na moyoni.......
Kuishi kibachela ni raha sana.....kwani kila kitu kinakuwa under your control.......
Sikirii hata kuoa....na sijui kama tena nitaweza kuishi na mwanamke.........
Mwenyewe unapanga ule nini.....unapanga ndani kwako paweje......na mpangilio wa vitu vyako vinakuwa bora sana.....
Chumbani kwako kunakuwa kama paradiso ndogo.....ni mahali ambapo unatuliza moyo wako na pirika pirika za mji na maisha.....
Muda huu nipo zangu ndani kimya....huku nimeshika kitabu nikiongeza maarifa.....nikisindikizwa na mixing kali za wakina BOYZ II MEN.....Joe Thomas.....R Kelly.....bila ya mkuwasahau wakali blue....kama Ken G....na Bryan Adam.....mimi ni ndani tu......jikoni nikisubiri mchanganyiko wa ndizi na nyama viive nishushie na juice ya embe..........
Its lots of funny here......
It's lot of funny but ur alone...
Hujui hata mwanamke ushauri unautoaje? Mambo ya kusadikika? Usipooa unamatatizo hakuna la ziada, oa acha tujue mlishindwana.
Shukurani zikufikie popote ulipo but no man!!!! Wote tunapenda kusoma kuongeza maarifa, kusikiza mziki nyororo nani ataosha vyombo, Endelea mpk ufike Field MarshallNaomba nikuoe wewe....!!,,,
Shukurani zikufikie popote ulipo but no man!!!! Wote tunapenda kusoma kuongeza maarifa, kusikiza mziki nyororo nani ataosha vyombo, Endelea mpk ufike Field Marshall
Hahaha wewe huyo? ???Achana na Heaven Sent, anataka kuvunja chama letu