Ogopa ma senior bachelor

Natafuta field marshal mwenzangu tutengeneze jeshi la familia
 
Ukute fidimasho sampo hii kaingia sehemu ambayo warembo BADILI TABIA na friends wanabarizi, you could see those stares za kisaluti saluti na kujiweka sawa kamanda kaingia...hahaha....life goes on
Hivi ile movie ya zamani ya huyu jamaa aliigiza amewekwa kwenye chupa na mkewe mwishoni akageuka mbwa inaitwaje, naitafuta ila siijui jina. tafadhali kwa anaejua anijuze,
NB: samahani kwa kufungua thread ndani ya comment
 
Uoga wao tu mtani, mtu anaombwa nauli ya daladala tu analia..
Siku hizi wameweka kiwango kabisa ni Tsh30,000 sasa mfano unakuta bajeti zimebana mfukoni una Tsh100,000 tu ukiombwa siku tatu kwisha unaanza kukopa.
Hizi nauli za daladala zimepanda bei.
 
Achia hapoooooo. Huwezi jua kama adballah yupo kama (Wiki ya pili Abdala hasimami baada ya kutembea na mke wa mtu, haja ndogo inatoka rangi mbalimbali). Kama yupo fiti basi vitimbi vya Le Mutuz angalikuwa navyo. Kuna wengine Senior Bachelor kama Moi ambao ni jina ingawa usiku ni mwendo wa kukumbatia.
 
Hivi ile movie ya zamani ya huyu jamaa aliigiza amewekwa kwenye chupa na mkewe mwishoni akageuka mbwa inaitwaje, naitafuta ila siijui jina. tafadhali kwa anaejua anijuze,
NB: samahani kwa kufungua thread ndani ya comment

Suicide Mission.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…