hivi siku hizi chatroom wameiondoa???? zamani nilikuwa napenda kuchat kuleee.....na darhotwire.....
Kwa wale ndugu zangu mnaopenda kutembelea mitandao tofauti kuna huu mtandao unaitwa marafiki.com ambao host wake yupo senegal ila asilimia 100 unatumiwa na watanzania ambapo katika mtandaoo huu unahuusisha vijana kuchart na kuwa na marafiki
sasa kuna videmu katika mtandao vina tabia ya kutongoza wa wanaume halafu vinatoa namba zao za simu zao
ukipiga unaongea nao.....na vingi vina jifanya vina pesa sana.........na mwisho wa siku vinakupa account namba
zao na namba za siri halafu vinakwambia ukiwa na shida fungua account yangu na chukua pesa zozote utakazo kama ukiwa huna pesa.............
Ogopa sana kuingia kwenye account zao......
Naona udenda unakudondoka. Si ujaribu basi kisha tuletee "feedback"?Mbona haini click kabisa hii story... Yaani napewa a/c ya demu then naibiwa mimu pesa kwenye account yangu!!
Unaibiwa pesa.....kwenye account yako hawa mademu wana software hatari za kuchakachua account