nadhani umekosea kuuliza, ulipaswa kuuliza mada ni nini si swala la mahali pa kusomea,ambapo inaweza ikawa hata chini. ya miti.
nadhani umekosea kuuliza, ulipaswa kuuliza mada ni nini si swala la mahali pa kusomea,ambapo inaweza ikawa hata chini. ya miti.
CHADEMA wana oganaizesheni ya mafunzo ambayo mkurugenzi wake ni Benson Kigaila. nachotaka kujua je haya ni mafunzo ya darasani ama mafunzo ya namna gani hasa?. ni hilo tu linaloniumiza kichwa. wanachadema naomba mnifahamishe.
Asanteni .
Ofisi za Chadema si wajua ziko wapi ? Nenda kule kaulize na Benson utamkuta hapa si kwa Chadema kaka
umenikumbusha ya mwigulu na nepi mkuu,haaaa...!ni oganaizesheni na mafunzo ya kuvunja ndoa za watu kama anavyofanya kigaila.
mkuu wewe unahangaika na haya mavuvuzela? hayajui chochote zaidi ya kuchonga tu humu na kutetea vitu yasivyovijua. ukiyaona utafikiri yana vichwa kumbe ni vifuu vya nazi juu ya shingo zao.yani hadi sasa hakuna hata mchadema mmoja aliyempa mtoa mada jibu la maana....yani nyie mmekaa kukosoa kosoa..sasa kitu gani mtaweza kukijibu straight?? kama hili dogo tu mnalishindwa!!
ni oganaizesheni na mafunzo ya kuvunja ndoa za watu kama anavyofanya kigaila.