Ofisi za Uhamiaji Kahama Kupewa Gari

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,906
945
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imeahidi kupeleka gari Wilaya ya Kahama kwa ajili ya kurahisisha utendaji kazi Ofisi ya Uhamiaji (Immigration) Kahama-Shinyanga kutokana na msongamano mkubwa wa Wahamiaji Kahama.

Hayo yamejiri baada ya Mbunge wa Jimbo la Ushetu kuuliza swali Bungeni kuwa ni lini Ofisi ya Uhamiaji Kahama-Shinyanga watapewa gari kwa ajili ya kurahisisha majukumu ya kila siku ili kupambana na wahamiaji haramu wanaoingia kwa wingi Wilaya ya Kahama

Swali hilo lilijibiwa na Naibu Waziri Mambo ya Ndani Mhe. Jumanne Sagini
 

Attachments

Wazungu wakatuwekea mipaka yaani Waafrika sisi kwa sisi tubaguane. Divide and rule technique
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…