Ofisi za Rula Organization ziko wapi?

Rene Jr.

JF-Expert Member
Jan 31, 2014
3,714
2,372
Salaam wakuu,
Naomba anayeifahamu hiyo organization, wanadai wako based Iringa. Kuna kazi wwalitangaza zoom, Ndugu yangu mmoja aliomba. Walimfanyia interview ya oral kwa njia ya simu. Baada ya kama week wamemwandikia email kwamba amepata kazi na anatakiwa kuhudhuria mafunzo Dodoma mwezi wa sita. Katika barua yao (email) waliyomtumia nimeona mambo kadhaa ambayo si ya kawaida, Naomba kama kuna mtu anaifahamu organization hiyo na ofisi zao zilipo Iringa anifahamishe.
 
Back
Top Bottom