utoto tu huu..Jengo la Wizara ya Ofisi ya Rais (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa) linalojengwa katika Mji wa Serikali jijini Dodoma. Rais John Magufuli amesema wizara hiyo imeshindwa kukamilisha ujenzi wa ofisi hizo kwa muda uliopangwa hivyo amemtaka Waziri wa Tamisemi, Selemani Jafo na watumishi wa wizara hiyo kuahamia hivyo hivyo
View attachment 1072478
HatariiiView attachment 1072336View attachment 1072337View attachment 1072338View attachment 1072339
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kasi gani sasa hapa na wewe unachotwa kirahisi namna hii na haya maigizo?Asiyeweza kasi aachie mchuma
Hii itakua fundisho big up
Huoni hiyo ni photoshop hiyo kwenye hivyo vibango. HahahahahaKuna kasi gani sasa hapa na wewe unachotwa kirahisi namna hii na haya maigizo?
Wizara zote zilipewa bilioni 1.Sifa za kijinga hizo!!! Na utakuta tatizo ni jiwe mwenyewe, kutopereka pesa kwa wakati na kutumia hao wakandarasi ambao hakuna mchakato wa tender!! Leo anataka kuonekana shujaa!!!
Waitara naibu waziri anapitishwa kwenye kaa la moto kama dhahabu ..ili aiveNimeiona ofisi ya Waitara, ninamsihi awepo ofisini kutatua kero za wananchi.
Sasa nao walikuwa wapi kukamilisha. Wangekamilisha hata floor ya chini!Hili ndilo Jiwe haswa
Hapo usiku panya anatimba masijala abatafuna file zote dadeki.....
Nami nafahamu hivyo!
Fedha wanazochezea Wanapata wapi? Miradi vijijini haipati fedha lakini Wizara hii inabebwa kwa mbeleko.Jengo la Wizara ya Ofisi ya Rais (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa) linalojengwa katika Mji wa Serikali jijini Dodoma. Rais John Magufuli amesema wizara hiyo imeshindwa kukamilisha ujenzi wa ofisi hizo kwa muda uliopangwa hivyo amemtaka Waziri wa Tamisemi, Selemani Jafo na watumishi wa wizara hiyo kuahamia hivyo hivyo
View attachment 1072478
HatariiiView attachment 1072336View attachment 1072338View attachment 1072339
Sent using Jamii Forums mobile app
Pesa tamu baba wanakaa hapo lkn mwisho wa mwezi wanapata ugaliKama ndo mimi najiuzuru kuliko kukaa kwa ofisi za hivo