Ofisi za muda za TAMISEMI Dodoma

Yeye mbona hajaamia dodoma..anasubiri nini...alafu yeye akiulizwa kwanini hajaamia anasema sababu mama yake mgonjwa...kwanini huyo mama ake mgonjwa asimwamishie huko dodoma??
 
Sifa za kipumbavu, aonekane anajali muda na yuko makini kutekeleza maamuzi yake ...

Mbona yeye tangu December 2018 yuko Dar ?

#Shwain

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo ya kijinga kabisa hayo sasa wamefanya hivyo ili iwe nini hivyo mambo mengine inabidi ufikirie siyo kila unachoambiwa unafanya tu ili mradi kisa Rais amesema wakati mwingine ni kauli anatoa ili muongeze kasi ya utekelezaji kwa viwango siyo ili mradi. Sasa hizo ofisi kweli uwaweke watu hapo na jua la Dodoma lilivyo kutakuwa na utendaji kazi kweli humo, mwekezaji wa kiwanda cha 2b kwa mfano naye aingie kwenye ofisi ya mabanda kweli tuko serious hivi walifikiria impact ya hicho walichofanya?

Viongozi wetu wana tatizo mahali siyo bure
 
hapa kazi tuuuuu, ukishindwa kutekeleza maagizo yanakutafuna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…