B'REAL
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 4,582
- 3,272
Habari za jioni wakuu.
Niende moja kwa moja kwenye kichwa cha habari. Inasikitisha ofisi za jiji linakosa umeme masaa manne hadi matano wanashindwa kuwasha generetor kuhudumia walipa kodi. Hivi kweli ofisi jiji la Mwanza mnashindwa kutuhudumia kisa umeme hakuna?
Tumeacha shughuli zetu kuja kulipa mapato ya jiji, cha ajabu mnatuambia umeme umekatika tusubiri. Bora hata ingekuwa nusu saa jamani, masaa manne kweli? Hii ni aibu sana na haiendani na kauli hapa kazi tu. Wahusika lifanyieni kazi, generetor liko pale liwashwe watu wapate huduma tukajenge taifa.
Asante