Stanley Mitchell
JF-Expert Member
- Jan 2, 2014
- 4,574
- 4,073
Tukumbushe basiMkuu kila nikikumbuka ule mgongano uliokuwepo kati ya DPP Feleshi na Mkurugenzi wa Takukuru Hosea wakati ule, aisee NAKUELEWA sana usemacho.
Tukumbushe basiMkuu kila nikikumbuka ule mgongano uliokuwepo kati ya DPP Feleshi na Mkurugenzi wa Takukuru Hosea wakati ule, aisee NAKUELEWA sana usemacho.
KWELI aisee, jamaa anadhani DPP ni polisi na anajua AG ndiyo mshitaki kwenye jinai.U dont know what u are talking
Mmm, DPP ni department ndani ya ofisi ya AG?jamaa kusema hajui anachoongea ni kweli kabisa. DPP ni department ndani ya ofisi ya AG. DPP sio polisi, and it strikes me when president says ofisi ya DPP. hakuna ofisi ya DPP kuna cheo cha DPP ambacho ndio top wa idara ya mashtaka. top wa ofisi ni AG. kwa AG kuna presidential appointee wengine sio AG, DAG na DPP, CPD pia ni presidential appointee. Mkuu wa nchi awaite watu wake atoe maelekezo na sio kubwabwaja mbele za watu kutaka political mileage kwenye mambo ya kiutendaji.
Well noted.wewe ni sifuri, hujui unachoongea kama wanavyokuambia. DPP ni mwajiriwa kabisa wa ofisi ya AG na ni wakili wa serikali Mkuu (principal state attorney) ndiye anateuliwa kuwa DPP. sio polisi, umechanganya DPP na DCI. DCI ni Director of Criminal Investigation ambaye anasimamia masuala yote ya upelelezi wa kesi. ila mwenye mamlaka ya kufungua mashitaka ya jinai, kuyaendesha au kuyafuta ni DPP aliyepo ofisi ya AG. Zamani kwasababu mawakili wa serikali walikuwa wachache, DPP kwa mamlaka yake alikuwa ana delegate polisi (pp) kuwa public prosecutors, lakini siku hizi mawakili ni wengi, pamoja na kwamba delegation hiyo bado inaendelea, ni kwa wilayani tu ambako ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali haijafika. kwa taarifa yako, mawakili wa serikali woote mikoani immediate boss wao ni DPP, AG hajihusishi na masuala yeyote ya criminal prosecution na hana power hiyo, mwenye power hiyo ni DPP ambaye ni mwajiriwa wake....
mgongano uliopo pale, bila kuficha ni kugombania madaraka, na hilo ndilo alilisema rais jana,...DPP ni appointee wa Rais, the same applies to AG na deputy wake. lakini anayefanya kazi nyingi zaidi ni DPP kwasababu ofisi hiyo pamoja na kwamba kuna mambo mengi sana, shughuli kubwa ni kuendesha kesi za jinai ambazo zote mamlaka yake hayapo chini ya AG bali DPP. sasa kuna mtifuano hapo, wakati huyu anayesimamia keso zote za jinai anahitaji labda pesa au chochote kuwezesha mawakili wa serikali kushinda kesi, mwingine anabada kwasababu tu yeye ni boss wa DPP, hapo ndipo wanaanza kutunishiana misuli na ndio ugomvi. AG offisi inamwangusha sana DPP kiutendaji na hawatoi sapoti ya kutosha. ninasema hivyo kwasababu nilishafanya kazi kama wakili wa serikali nikaacha. mawakili wana maisha magumu sana wanapelekeshwa ile mbaya kuendesha kesi za mamilioni, lakini vitendea kazi na motisha hamna, hayo yote yanatakiwa kuamuliwa kule kwa MASAJU, ninasikia hapa juzi hata mamlaka ya kuwa signatory DPP wamemnyang'anya, hivyo chochote atakachotaka kufanya, hata kama anataka kutuma vijana wake wakaendeshe kesi mkoani harakaharaka haiwezekani hadi aombe ruhusa ya pesa kwa AG na deputy wake. kuna mengi naomba nisifichue sana, ila solution ni hiii:
RAIS, TENGANISHA OFISI YA AG NA OFISI YA DPP, ziwe ofisi mbili kama ilivyo nchi zingine. DPP anashindwa kufanya kazi chini ya AG kwasababu yeye ana mamlaka makubwa sana pengine kiutendaji yanamzidi hata boss wake AG, sasa hapo boss hataki kuonekana kazidiwa ndio maana anamkwamisha mwezake. i am speaking from experience na hii ndio solution. ukifanya hivyo, kesi zitakuwa zinenda haraka, watashinda kesi na mawakili hawatakuwa wanaacha kazi na kula rushwa kila siku au kushirikiana na upande wa washitakiwa kuharibu kesi. ni sawa na kumweka mbwa alinde nyama wakati haujampa chakula cha kula. unafikiri ataacha, ni mtu punguani tu ataacha kula rushwa wakati maisha yake magumu ofisi haimjali. ndio maana kila mwezi kuna watu wanahama hiyo ofisi kwasababu haina motisha, ni ngumu san akufanya iyo ofisi.
DPP asiwe bwege, unakuwaje mwendesha mashitaka ikiwa hauna wapelelezi wako?wewe ndio umeongea kitu. hiyo ofisi inaishi kishujaa sana, kwasababu huku kuna AG boss wake/mwajiri, huku kuna DCI wapelelezi, huku kuna PCCB walio chini ya ofisi ya rais (Wapelelezi), anawekwa mtu kati, masimango kila kona. hapohapo mawakili wa serikali nchi nzima wapo chini yake (immediate boss wao kesi za jinao)...inatakiwa iwe independent kabisa, hata rais hatakiwi kuiamrisha hivyo.
...Kwa jinsi nilivyofuatilia mjadala hapa, naweza kuhitimisha bisha mashaka kwamba tatizo siyo kwa wawili hawa kuitwa pamoja, kuongea nao au kuwapatanisha, it wont help kwa sababu mzizi wa tatizo ni muundo wenyewe kama ambavyo tumeonyeshwa hapa kwenye hiyo structure. Suluhu ya kudumu ni kwa vyeo hivyo viwili kutenganishwa na kila mtu awe na ofisi yake inayojitegemea, na hata uteuzi wao uwe kwa competence na kupitishwa na bunge.kikubwa hapa nikuwaita AG na DPP aongee nao kuondoa zile misunderstanding zao ili mambo yaende vizur kuliko kubaki na msuguano unaorudisha nyuma maendeleo kwa taifa.
wewe ni sifuri, hujui unachoongea kama wanavyokuambia. DPP ni mwajiriwa kabisa wa ofisi ya AG na ni wakili wa serikali Mkuu (principal state attorney) ndiye anateuliwa kuwa DPP. sio polisi, umechanganya DPP na DCI. DCI ni Director of Criminal Investigation ambaye anasimamia masuala yote ya upelelezi wa kesi. ila mwenye mamlaka ya kufungua mashitaka ya jinai, kuyaendesha au kuyafuta ni DPP aliyepo ofisi ya AG. Zamani kwasababu mawakili wa serikali walikuwa wachache, DPP kwa mamlaka yake alikuwa ana delegate polisi (pp) kuwa public prosecutors, lakini siku hizi mawakili ni wengi, pamoja na kwamba delegation hiyo bado inaendelea, ni kwa wilayani tu ambako ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali haijafika. kwa taarifa yako, mawakili wa serikali woote mikoani immediate boss wao ni DPP, AG hajihusishi na masuala yeyote ya criminal prosecution na hana power hiyo, mwenye power hiyo ni DPP ambaye ni mwajiriwa wake....
mgongano uliopo pale, bila kuficha ni kugombania madaraka, na hilo ndilo alilisema rais jana,...DPP ni appointee wa Rais, the same applies to AG na deputy wake. lakini anayefanya kazi nyingi zaidi ni DPP kwasababu ofisi hiyo pamoja na kwamba kuna mambo mengi sana, shughuli kubwa ni kuendesha kesi za jinai ambazo zote mamlaka yake hayapo chini ya AG bali DPP. sasa kuna mtifuano hapo, wakati huyu anayesimamia keso zote za jinai anahitaji labda pesa au chochote kuwezesha mawakili wa serikali kushinda kesi, mwingine anabada kwasababu tu yeye ni boss wa DPP, hapo ndipo wanaanza kutunishiana misuli na ndio ugomvi. AG offisi inamwangusha sana DPP kiutendaji na hawatoi sapoti ya kutosha. ninasema hivyo kwasababu nilishafanya kazi kama wakili wa serikali nikaacha. mawakili wana maisha magumu sana wanapelekeshwa ile mbaya kuendesha kesi za mamilioni, lakini vitendea kazi na motisha hamna, hayo yote yanatakiwa kuamuliwa kule kwa MASAJU, ninasikia hapa juzi hata mamlaka ya kuwa signatory DPP wamemnyang'anya, hivyo chochote atakachotaka kufanya, hata kama anataka kutuma vijana wake wakaendeshe kesi mkoani harakaharaka haiwezekani hadi aombe ruhusa ya pesa kwa AG na deputy wake. kuna mengi naomba nisifichue sana, ila solution ni hiii:
RAIS, TENGANISHA OFISI YA AG NA OFISI YA DPP, ziwe ofisi mbili kama ilivyo nchi zingine. DPP anashindwa kufanya kazi chini ya AG kwasababu yeye ana mamlaka makubwa sana pengine kiutendaji yanamzidi hata boss wake AG, sasa hapo boss hataki kuonekana kazidiwa ndio maana anamkwamisha mwezake. i am speaking from experience na hii ndio solution. ukifanya hivyo, kesi zitakuwa zinenda haraka, watashinda kesi na mawakili hawatakuwa wanaacha kazi na kula rushwa kila siku au kushirikiana na upande wa washitakiwa kuharibu kesi. ni sawa na kumweka mbwa alinde nyama wakati haujampa chakula cha kula. unafikiri ataacha, ni mtu punguani tu ataacha kula rushwa wakati maisha yake magumu ofisi haimjali. ndio maana kila mwezi kuna watu wanahama hiyo ofisi kwasababu haina motisha, ni ngumu san akufanya iyo ofisi.
...Very well said. Sasa mkuu ikiwa katiba inawatambua kama watu 2 tofauti why mmoja akamtia kwapani mwenzake? Kwa nini AG alivyojinasua toka wizara ya katiba na sheria hawakufikiria kuwa na two separate offices? (ya AG na DPP i mean).hawa wote DPP na AG wanateuliwa na mh Rais halafu unategemea DPP awe loyal kwa AG wakati wote wameteuliwa na raisi wana mshahara na kila kitu kinacholingana kwa namna yoyote ile AG kwa kuwa ndiye accounting officer wa ATTORNEY GENERAL CHAMBER atakuwa anajaribu kumkumbatia DPP kwapani wakati DPP anajaribu kujinasua kama kuku aliyenaswa na kicheche
Lakini kubwa kuliko yote kumbuka kipindi cha nyuma kabla ya 2008 huyu AG alikuwa ameunganishwa kwenye wizara ya katiba na sheria alikuwa anajaribu kumweka kwapanio mpaka waziri wa katiba na sheria na suluhu ikawa kuwatenganisha,
kwa hiyo endapo mh raisi anahitaji suluhu ili mgogoro usiendeleee atenganishe hawa watu wawili kwa kuwa hata katiba ya nchi yetu inawatambua kama watu tofauti.
nadhani uliiona ile organisation structure ya ofisi ya AG niliyoiweka hapo awali ambayo inaonesha kuna DIRECTORATE OF PUBLIC PROSECUTION ndani yake suala gumu siyo structure bali suala gumu ni kwamba hawa wote wanapatikana kwa kuteuliwa na raisi huku ikitegemewa kuwa(kwa mujibu wa organisation structure) DPP awe chini ya AG wakati wote wapo kwenye level moja hapo ni sawa na kuchukua watoto waliozaliwa siku moja wakati mmoja halafu unalazimisha mmoja amwite mwenzie kaka...Very well said. Sasa mkuu ikiwa katiba inawatambua kama watu 2 tofauti why mmoja akamtia kwapani mwenzake? Kwa nini AG alivyojinasua toka wizara ya katiba na sheria hawakufikiria kuwa na two separate offices? (ya AG na DPP i mean).
Birds of the same feather, fly 2gether! Ndio wale wale Villains; yule mama mjane kawaanika kisawasawa!
Mimi nimeliona kosa langu baada ya mwana JF mwenye akili kuweka hapa Organogram ya ofisi ya AG, Tatizo lenu wengine woote mliokuwa mnanikosoa ukiwemo wewe mlikuwa mnaadress kosa minor mnaacha hoja ya msingi ya mleta mada kuhusu chanzo cha kusigana baina ya vigogo hao AG na DPP, mnaishia kusema sijui ninachosema lakini hamsemi kilicho sahihi! Hata wewe sasa hivi hujajibu hoja hiyo ya msingi! Funguka vinginevyo hata wewe tutakuona Mweupeee peee!Ndugu ungeomba uelezewe ni wapi ulipokosea katika point yako..ila katika kukusaidia ofisi ya DPP ipo chini ya ofisi ya AG.hao mawakili wa serikali ambao unasema ndiyo wanaongoza kesi badala ya mapolisi wapo kwa AG na wengine wapo kwa DPP lakini wote kwa ujumla bosi wao ni AG. DPP ni cheo ambacho ni department ndani ya AG.Kabla hujaandika ni vema kufanya research kwanza na unapokosolewa na mtu mmoja ni vema ujihakikishe kwanza kuliko kuendelea kuongea.utaoneka mweupe juu.
Wewe inaonekana hujui DPP sio polisi. Elewa kuwa DPP ni sehemu ya idara ndani ya AG, ila ktk idara kadhaa ndani ya AG ni DPP pekee ndio anateuliwa na rais. Vita iliyopo nadhani ni hiyo kuwa wote ni wateule wa rais nani atamwajibisha mwenzie. Kingine nilisikia ni kuwa DPP hataki kuwa chini ya AG bali awe idara huru. Yaani ni balaa ya kutaka full powerFigisu za maslahi, ofisi ya DPP (polisi) siku hizi hawaendeshi kesi mahakamani na kwa hiyo kukosa machikicho yatokanayo na urasimu na hila kama hizo ulizosikia yule mjane akiziainisha kwa JPM jana!
Kazi ya kuendesha kesi mahakamani inasimamiwa na wanasheria wa serikali kutoka ofisi ya AG ambao kwa maana hiyo ndio wanaonufaika na kansa hiyo!
Chuki ni kwamba ofisi ya AG wananufaika visivyo halali; na kwa kuwa hiyo yote ni kazi haramu hakuna jinsi ya kuweka uwiano wa mgao wa mafao!
Polisi wanachukua risk zote za kukamata wahalifu, wakishakamata issue kwisha kazi wanakabidhi faili kwa AG, wanachapa mwendo! Vijana wa AG wanakula kwa ulaini ndani ya designer suits zao! kisa cha uhasama! Yaani vijana wa AG wanavuna kwenye shamba ambalo hawakulima, wanakula jasho la wenzao!?
Nionavyo, kazi ya kusaka, kukamata na kuendesha mashitaka irejee kwa DPP kikamilifu kwa sababu wao ndio wapelelezi wa kesi kuanzia shina, ofisi ya AG wakikosa ushirikiano wa DPP kwa sababu yoyote ile AG hatakaa ashinde kesi maisha yake hata wakiweka pale magenious wote wa dunia!
Ofisi ya AG wabaki na kazi ya kuandika miswada ya sheria na kuitetea serikali mahakamani au ofisi ya DPP ihamishiwe kwa AG or vice versa, ni mgongano wa maslahi kaka!
Kipindi cha DPP FELESHI AG alikuwa Werema na sio Masaju. Masaju alishika kwa kipindi kifupi baada ya Werema kujiuzuru kwa ESCROW. Hivyo kipindi kitefu cha mgogoro AG alikuwa Werema na DPP Feleshiajabu yake, mmoja wa wale waliokuwa wanagongana na ofisi ya DPP tangu enzi za FELESHI ni huyo AG wa sasa, sasa kusemwa mbele za watu vile jana ina maana anafaa au hafai, amesolve vipi mgogoro huo? DPP wa sasa ni mtoto mdogo hajui kitu watamuonea tu maugomvi hayo ameyakuta. wamuulize MASAJU huo ugomvi kwanini hauishi? na yeye alikuwepo tangu miaka ya nyuma na kutuhumiwa kuwa ndiye anayegombana na ofisi ya DPP? tumbua mbali huko.
hahaha, hicho kitu ukiongea mbele ya AG kama siku hiyo hajaamka vizuri anaweza kukurushia makonde (kidding). Kati ya sababu kubwa ya ugomvi ni DPP kuweka mapendekezo kuwa ajitenge iwe ofisi inayojitegemea, na ndilo bifu lililomsumbua sana Feleshi. AG anataka dpp awe chini yake na kwa vile ni mwajiriwa wake ndio anataka aendelee kuwa chini yake. kwa uzoefu ninavyoangalia nchi zingine, ofisi ya DPP inajitegemea. Pamoja maneno yoote waliyomsema Feleshi, wakitaka tatizo hili litatuliwe once and for all, wamwite Feleshi awape ushauri kwasababu yeye ndiye alipata shida sana na hiyo ofisi ya boss wake AG, na Feleshi alijitahidi sana kupambana ijitenge iwe kama ilivyo nchi zingine ili ufanisi uwepo, lakini alipoondoka tu, yote aliyokuwa ameimarisha feleshi yamenyang'anywa kwa Mganga na yamerudishwa kwa AG. ofisi hiyo kufanya bila kuwa independent ni ngumu sana. ndugu zetu wanafanya kazi hapo, tangu Feleshi aondoke hapo kwa dpp, kila kitu kimelala na yamebaki mapambano tu ya mamlaka, na anayeonewa ni DPP. AG awe na ofisi yake na DPP awe na ofisi yake kama kitengo ndio ataweza kutoa maamuzi kwa uhuru na ufanisi, kama sivyo hivyo, tutaendelea kuona yanayoendelea....Very well said. Sasa mkuu ikiwa katiba inawatambua kama watu 2 tofauti why mmoja akamtia kwapani mwenzake? Kwa nini AG alivyojinasua toka wizara ya katiba na sheria hawakufikiria kuwa na two separate offices? (ya AG na DPP i mean).
Unafahamu Vizuri Muundo wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu? Bila shaka usingeandika hivi. Nashauri ufanye utafiti.Figisu za maslahi, ofisi ya DPP (polisi) siku hizi hawaendeshi kesi mahakamani na kwa hiyo kukosa machikicho yatokanayo na urasimu na hila kama hizo ulizosikia yule mjane akiziainisha kwa JPM jana!