Ofisi za AG na DPP kuna nini?

Ofisi za AG na DPP kuna nini?

kama ulimsikiliza rais vizuri, alisema..." kwani wote si appointee wa rais"?....hapo anaongea kati ya watu wawili, mmoja boss mwingine subordinate. kwa akili ya kawaida unafikiri amemhukumu nani hapo? ni kwamba anamtuhumu attorney general kwamba ampe DPP heshima yake na amwache afanye majukumu yake, kuwa kwake boss kusizuie kazi zake na asimbane sana kwani hata dpp ni appointee wa rais...maana yake pia ni kama amewaweka wote kuwa wapo sawa tu mbele yake hakuna boss wa mwenzake. kwani nyie wote si appointee wangu?hahaha. kati ya mdogo na mkubwa unafikiri nani alikuwa anasutwa apo?
... Umeeleza vema, lakini why JPM asiende one step further kufanya maamuzi ya kutenganisha the two? Surely huu msuguano ni wa muda mrefu na possibly hata JPM anajua vizuri hilo tatizo. Alimalize hilo tatizo once and for all.
 
Umeandika mengi lakini hujui unachokieleza
Katika hali ya kawaida kabisa sio rahisi kukosoa kitu ambacho hukielewi ndio maana umeishia kusema "sijui ninachokieleza" kwa kuwa hoja ya msingi huijui wala huwezi kuitolea maelezo! Aibu yako hiyoo!
 
dogo, Task and functions unazotaka tukujibu ni kwamba, mwenye shughuli nyingi zaidi ni DPP kuliko hata AG. Tanzania kuna ofisi za mwanasheria mkuu wa serikali (kwaajili ya kuendesha mashitaka) zaidi ya mikoa 20, na huko kote immediate boss wao alitakiwa kuwa DPP, sio AG kwasababu AG au deputy wake (ambaye ni mwajiri wa dpp) hawahusiki wala hawapo accountable kwa kesi yeyote ya jinai. huyu anahitaji fungu liwe mikononi mwake, sio kwaajili ya kula, bali kuendesha ofisi ikiwepo kuendeshea magari kupeleka mawakili mahakamani, kulipa nauli mawakili kwenda kuendesha kesi mikoa mbalimbali na mambo mengine mengi. sisi wenzio tunaongea tulishafanya kazi huko, wewe ni mwanafunzi sijui wa chuo gani haujui hata unachoongea.
Oy state attorney kwa sasa wanalipwaje?
 
kaka, ukiwatenganisha kama jamaa anavyosema, AG Hatabaki na kitu kabisa, kwasababu mtendaji mkuu wa ofisi ya mwanasheria mkuu ni DPP kwasababu shughuli zilizo nyingi hapo ni kuendesha mashitaka. ukimwondoa DPP, attorney general atabaki na division ya katiba na sheria, division ya mikataba, division ya mashauri ya madai...hapo division ya mashauri ya jinai anayoshikilia DPP itakuwa imenyofoka. hizo division zingine ukiondoa ya kuendesha mashitaka(dpp) ni watu wachache sana hata 500 sidhani kama wanafika ukijumuisha na makatibu muhtasi na wafagiaji. ofisi zote mikoani zinazoendesha mashauri ya madai ni kesi chache sana hivyo wanajikuta wote wanafanya kazi za DPP tu,...

hata hivyo, haitakuwa shida kwasababu kama kuna kesi ya madai, attorney general anacho kitengo cha madai na mikataba pale chenye mawakili wa serikali wanaozunguka nchi nzima kuendesha kesi za madai....nashauri watenganisha haraka ili kuwe na ufanisi, na wakitenganisha, arudishwe Feleshi ndiye alikuwa anaiweza hiyo ofisi na ndiye alikuwa amekubalika dunia nzima. alipoondoka nasikia aliondoka na kila kitu...wafadhili wakakimbia, misaada kwenye iyo ofisi ikakauka kwasababu watu waliona jembe limeondoka....hata kikwete alikuja kujilaumu baadaye kwa kuona amepotoshwa akatamani kumrudisha lakini ikawa ngumu.
... Umeibua hoja mujarab sanaa mkuu, unajua at one point nimeona kwamba hofu kuu ya AG kutaka aendelee kumuweka DPP kwenye mbawa zake ni kwamba hiyo directorate ingawa ni moja out of more than five kama nilivyoona kwenye organogram, it is very powerful and possibly with highest budget. Sasa hapa ndipo maamuzi magumu yanahitajika ili kutenganisha the two hata kama mmoja hataki. In fact hili likidanyika huyu AG atakuwa na muda wa kutosha kuishauri vema serikali kwenye mikataba mikubwa kuondokana na mambo ya Tanesco, madini etc. On the other hand DPP naye atakuwa na authority, funds na muda wa kutosha kufuatilia kesi za jinai ili kukomesha serikali kushindwa, lakini pia mapolisi wanaobambikia watu kesi.
 
yaani hicho ndicho alichopambana Feleshi, hadi wakamuundia zengwe aondolewe kwasababu waliona anaenda kushinda na kuiweka hiyo ofisi independent jambo ambalo lingekuwa na faida sana kwa raia wa tz. kesi nyingi kuchukua muda mrefu, kesi nyingi kushindwa na matatizo yoote hayo yanasababishwa na kutokuwa independent kwa DPP.

kitu cha ajabu ni kwamba, AG anazo shunguli nyingi tu. anacho pale kitengo cha MIKATABA, hicho tu kinatosha kumfanya awe busy kufanya utafiti na kuisoma vizuri ili tusiingizwe mkenge, anacho kitengo cha human rights na vitengo vingine, hivyo vyote vitamfanya awe busy. sasa yeye anang'ang'ania hata DPP ambaye pia ni mteuliwa aendelee kuwa chini yake kusudi bajeti inapokuja kwake ije kubwa, na huko kwa DPP haifiki nyingi. RAIS TENGANISHA HIYO OFISI ILI UTENDAJI UWE MZURI.
 
Figisu za maslahi, ofisi ya DPP (polisi) siku hizi hawaendeshi kesi mahakamani na kwa hiyo kukosa machikicho yatokanayo na urasimu na hila kama hizo ulizosikia yule mjane akiziainisha kwa JPM jana!

Kazi ya kuendesha kesi mahakamani inasimamiwa na wanasheria wa serikali kutoka ofisi ya AG ambao kwa maana hiyo ndio wanaonufaika na kansa hiyo!

Chuki ni kwamba ofisi ya AG wananufaika visivyo halali; na kwa kuwa hiyo yote ni kazi haramu hakuna jinsi ya kuweka uwiano wa mgao wa mafao!

Polisi wanachukua risk zote za kukamata wahalifu, wakishakamata issue kwisha kazi wanakabidhi faili kwa AG, wanachapa mwendo! Vijana wa AG wanakula kwa ulaini ndani ya designer suits zao! kisa cha uhasama! Yaani vijana wa AG wanavuna kwenye shamba ambalo hawakulima, wanakula jasho la wenzao!?

Nionavyo, kazi ya kusaka, kukamata na kuendesha mashitaka irejee kwa DPP kikamilifu kwa sababu wao ndio wapelelezi wa kesi kuanzia shina, ofisi ya AG wakikosa ushirikiano wa DPP kwa sababu yoyote ile AG hatakaa ashinde kesi maisha yake hata wakiweka pale magenious wote wa dunia!

Ofisi ya AG wabaki na kazi ya kuandika miswada ya sheria na kuitetea serikali mahakamani au ofisi ya DPP ihamishiwe kwa AG or vice versa, ni mgongano wa maslahi kaka!
Offcourse ww siyo wakili. Umedandia tu. Hujui chochote. Bora hata ungesoma Gazeti la Mwanchi la tarehe 3/02/2017.
 
Acha maneno ya vijiwe vya kahawa wewe, sidhani kama unafahamu unachokizungumza. Kwanza aliyekwambia ofisi ya DPP ipo chini ya polisi ni nani!? Then kwenye prosecution kuna maslahi yapi hayo ambayo huyataji hadi useme eti vijana wa AG wananufaika? Unaufahamu muundo wa ofisi ya AG na DPP ni nini ndani ya ofisi ya AG?
 
lakini tujipe moyo, kama rais mwenyewe anaelewa picha ya movie, labda yuko mbioni kufanya mabadiliko makubwa.
 
Mmm, DPP ni department ndani ya ofisi ya AG?

Binafsi huwa naamini, ukimwacha Rais DPP ndiyo mtu mwingine mwenye mamlaka mikubwa sana ktk nchi hii.
ndio hivyo mkuu. katiba imeunda nafasi ya DPP ila kimuundo DPP ni moja ya idara za ofisi ya AG. kiutendaji DPP haingiliwi na mtu kwenye maamuzi yake wakati wa kuendesha kesi, kiutawala DPP immediate boss wake ni Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali. AG ni the overall boss lakini hausiki na uendeshaji wa ofisi, Naibu AG ndio mtawala
 
Figisu za maslahi, ofisi ya DPP (polisi) siku hizi hawaendeshi kesi mahakamani na kwa hiyo kukosa machikicho yatokanayo na urasimu na hila kama hizo ulizosikia yule mjane akiziainisha kwa JPM jana!

Kazi ya kuendesha kesi mahakamani inasimamiwa na wanasheria wa serikali kutoka ofisi ya AG ambao kwa maana hiyo ndio wanaonufaika na kansa hiyo!

Chuki ni kwamba ofisi ya AG wananufaika visivyo halali; na kwa kuwa hiyo yote ni kazi haramu hakuna jinsi ya kuweka uwiano wa mgao wa mafao!

Polisi wanachukua risk zote za kukamata wahalifu, wakishakamata issue kwisha kazi wanakabidhi faili kwa AG, wanachapa mwendo! Vijana wa AG wanakula kwa ulaini ndani ya designer suits zao! kisa cha uhasama! Yaani vijana wa AG wanavuna kwenye shamba ambalo hawakulima, wanakula jasho la wenzao!?

Nionavyo, kazi ya kusaka, kukamata na kuendesha mashitaka irejee kwa DPP kikamilifu kwa sababu wao ndio wapelelezi wa kesi kuanzia shina, ofisi ya AG wakikosa ushirikiano wa DPP kwa sababu yoyote ile AG hatakaa ashinde kesi maisha yake hata wakiweka pale magenious wote wa dunia!

Ofisi ya AG wabaki na kazi ya kuandika miswada ya sheria na kuitetea serikali mahakamani au ofisi ya DPP ihamishiwe kwa AG or vice versa, ni mgongano wa maslahi kaka!
Ukiwa huna uhakika na unachojua jihesabu hujui kitu. Kwa akili yako DPP ndo Polisi?
 
kivukoni naomba tofauti ya AG na DPP,DCI na AGA,DCP halafu IGP na DCI..

Majukumu yao,nani analipoti kwa mwenzake na kadharika.
 
kaka, ukiwatenganisha kama jamaa anavyosema, AG Hatabaki na kitu kabisa, kwasababu mtendaji mkuu wa ofisi ya mwanasheria mkuu ni DPP kwasababu shughuli zilizo nyingi hapo ni kuendesha mashitaka. ukimwondoa DPP, attorney general atabaki na division ya katiba na sheria, division ya mikataba, division ya mashauri ya madai...hapo division ya mashauri ya jinai anayoshikilia DPP itakuwa imenyofoka. hizo division zingine ukiondoa ya kuendesha mashitaka(dpp) ni watu wachache sana hata 500 sidhani kama wanafika ukijumuisha na makatibu muhtasi na wafagiaji. ofisi zote mikoani zinazoendesha mashauri ya madai ni kesi chache sana hivyo wanajikuta wote wanafanya kazi za DPP tu,...

hata hivyo, haitakuwa shida kwasababu kama kuna kesi ya madai, attorney general anacho kitengo cha madai na mikataba pale chenye mawakili wa serikali wanaozunguka nchi nzima kuendesha kesi za madai....nashauri watenganisha haraka ili kuwe na ufanisi, na wakitenganisha, arudishwe Feleshi ndiye alikuwa anaiweza hiyo ofisi na ndiye alikuwa amekubalika dunia nzima. alipoondoka nasikia aliondoka na kila kitu...wafadhili wakakimbia, misaada kwenye iyo ofisi ikakauka kwasababu watu waliona jembe limeondoka....hata kikwete alikuja kujilaumu baadaye kwa kuona amepotoshwa akatamani kumrudisha lakini ikawa ngumu.
JPM mwenyewe alipotoshwa kuhusu Feleshi kamnyima ujaji mkuu, lakini nadhani baada ya huyu CJ, Feleshi ndiye atafuata sababu umri wake bado mdogo na pia alikuwemo miungoni mwa watatu walokuwa wamebakia during vetting.
 
Figisu za maslahi, ofisi ya DPP (polisi) siku hizi hawaendeshi kesi mahakamani na kwa hiyo kukosa machikicho yatokanayo na urasimu na hila kama hizo ulizosikia yule mjane akiziainisha kwa JPM jana!

Kazi ya kuendesha kesi mahakamani inasimamiwa na wanasheria wa serikali kutoka ofisi ya AG ambao kwa maana hiyo ndio wanaonufaika na kansa hiyo!

Chuki ni kwamba ofisi ya AG wananufaika visivyo halali; na kwa kuwa hiyo yote ni kazi haramu hakuna jinsi ya kuweka uwiano wa mgao wa mafao!

Polisi wanachukua risk zote za kukamata wahalifu, wakishakamata issue kwisha kazi wanakabidhi faili kwa AG, wanachapa mwendo! Vijana wa AG wanakula kwa ulaini ndani ya designer suits zao! kisa cha uhasama! Yaani vijana wa AG wanavuna kwenye shamba ambalo hawakulima, wanakula jasho la wenzao!?

Nionavyo, kazi ya kusaka, kukamata na kuendesha mashitaka irejee kwa DPP kikamilifu kwa sababu wao ndio wapelelezi wa kesi kuanzia shina, ofisi ya AG wakikosa ushirikiano wa DPP kwa sababu yoyote ile AG hatakaa ashinde kesi maisha yake hata wakiweka pale magenious wote wa dunia!

Ofisi ya AG wabaki na kazi ya kuandika miswada ya sheria na kuitetea serikali mahakamani au ofisi ya DPP ihamishiwe kwa AG or vice versa, ni mgongano wa maslahi kaka!
Kwahiyo Kwa kusema hivyo unaunga mkono ufisadi we pumbaafuu kweli
 
finally nasikia hiyo ofisi wameshaitenganisha, AG na DPP wametengana rasmi. sijui kama ni kweli.
 
Back
Top Bottom