johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,521
Sasa nimeelewa kwanini Wenyeviti wa serikali za mitaa waliungana bila kujali itikadi kudai mihuri.Kwa hakika "ugali" si mchezo ilibidi Lionchawene asalimu amri!
Pole dogo, umetumia maneno na mitusi mingi kuelezea kile kile nilichopost mwanzo kwamba hawa tatizo lao maslahi dogo! Unatetea wale rushwa kwa kuwa ofisi haiwajali, si ndio mgongano wa maslahi huo au una hangover ya st Kayumba dogo? Anyway umezunguka sana duara nafikiri ni shauri ya kuzoea kula rushwa, lakini bora umefika salama, tatizo ni maslahi dogo, sio madaraka, AG anavuna shamba asilolima! Watenganishiwe majukumu au mmoja wao afutwe!wewe ni sifuri, hujui unachoongea kama wanavyokuambia. DPP ni mwajiriwa kabisa wa ofisi ya AG na ni wakili wa serikali Mkuu (principal state attorney) ndiye anateuliwa kuwa DPP. sio polisi, umechanganya DPP na DCI. DCI ni Director of Criminal Investigation ambaye anasimamia masuala yote ya upelelezi wa kesi. ila mwenye mamlaka ya kufungua mashitaka ya jinai, kuyaendesha au kuyafuta ni DPP aliyepo ofisi ya AG. Zamani kwasababu mawakili wa serikali walikuwa wachache, DPP kwa mamlaka yake alikuwa ana delegate polisi (pp) kuwa public prosecutors, lakini siku hizi mawakili ni wengi, pamoja na kwamba delegation hiyo bado inaendelea, ni kwa wilayani tu ambako ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali haijafika. kwa taarifa yako, mawakili wa serikali woote mikoani immediate boss wao ni DPP, AG hajihusishi na masuala yeyote ya criminal prosecution na hana power hiyo, mwenye power hiyo ni DPP ambaye ni mwajiriwa wake....
mgongano uliopo pale, bila kuficha ni kugombania madaraka, na hilo ndilo alilisema rais jana,...DPP ni appointee wa Rais, the same applies to AG na deputy wake. lakini anayefanya kazi nyingi zaidi ni DPP kwasababu ofisi hiyo pamoja na kwamba kuna mambo mengi sana, shughuli kubwa ni kuendesha kesi za jinai ambazo zote mamlaka yake hayapo chini ya AG bali DPP. sasa kuna mtifuano hapo, wakati huyu anayesimamia keso zote za jinai anahitaji labda pesa au chochote kuwezesha mawakili wa serikali kushinda kesi, mwingine anabada kwasababu tu yeye ni boss wa DPP, hapo ndipo wanaanza kutunishiana misuli na ndio ugomvi. AG offisi inamwangusha sana DPP kiutendaji na hawatoi sapoti ya kutosha. ninasema hivyo kwasababu nilishafanya kazi kama wakili wa serikali nikaacha. mawakili wana maisha magumu sana wanapelekeshwa ile mbaya kuendesha kesi za mamilioni, lakini vitendea kazi na motisha hamna, hayo yote yanatakiwa kuamuliwa kule kwa MASAJU, ninasikia hapa juzi hata mamlaka ya kuwa signatory DPP wamemnyang'anya, hivyo chochote atakachotaka kufanya, hata kama anataka kutuma vijana wake wakaendeshe kesi mkoani harakaharaka haiwezekani hadi aombe ruhusa ya pesa kwa AG na deputy wake. kuna mengi naomba nisifichue sana, ila solution ni hiii:
RAIS, TENGANISHA OFISI YA AG NA OFISI YA DPP, ziwe ofisi mbili kama ilivyo nchi zingine. DPP anashindwa kufanya kazi chini ya AG kwasababu yeye ana mamlaka makubwa sana pengine kiutendaji yanamzidi hata boss wake AG, sasa hapo boss hataki kuonekana kazidiwa ndio maana anamkwamisha mwezake. i am speaking from experience na hii ndio solution. ukifanya hivyo, kesi zitakuwa zinenda haraka, watashinda kesi na mawakili hawatakuwa wanaacha kazi na kula rushwa kila siku au kushirikiana na upande wa washitakiwa kuharibu kesi. ni sawa na kumweka mbwa alinde nyama wakati haujampa chakula cha kula. unafikiri ataacha, ni mtu punguani tu ataacha kula rushwa wakati maisha yake magumu ofisi haimjali. ndio maana kila mwezi kuna watu wanahama hiyo ofisi kwasababu haina motisha, ni ngumu san akufanya iyo ofisi.
U dont know what u are talking
Yaaaani khaaaaAaaargh! Wewe ndio umeharibu kabisa!
Umeandika kitu usichokijua, Ofisi ya DPP ni sehemu ya ofisi ya AG kwanza hapo umeonyesha jinsi gani ulivyo KILAZAFigisu za maslahi, ofisi ya DPP (polisi) siku hizi hawaendeshi kesi mahakamani na kwa hiyo kukosa machikicho yatokanayo na urasimu na hila kama hizo ulizosikia yule mjane akiziainisha kwa JPM jana!
Kazi ya kuendesha kesi mahakamani inasimamiwa na wanasheria wa serikali kutoka ofisi ya AG ambao kwa maana hiyo ndio wanaonufaika na kansa hiyo!
Chuki ni kwamba ofisi ya AG wananufaika visivyo halali; na kwa kuwa hiyo yote ni kazi haramu hakuna jinsi ya kuweka uwiano wa mgao wa mafao!
Polisi wanachukua risk zote za kukamata wahalifu, wakishakamata issue kwisha kazi wanakabidhi faili kwa AG, wanachapa mwendo! Vijana wa AG wanakula kwa ulaini ndani ya designer suits zao! kisa cha uhasama! Yaani vijana wa AG wanavuna kwenye shamba ambalo hawakulima, wanakula jasho la wenzao!?
Nionavyo, kazi ya kusaka, kukamata na kuendesha mashitaka irejee kwa DPP kikamilifu kwa sababu wao ndio wapelelezi wa kesi kuanzia shina, ofisi ya AG wakikosa ushirikiano wa DPP kwa sababu yoyote ile AG hatakaa ashinde kesi maisha yake hata wakiweka pale magenious wote wa dunia!
Ofisi ya AG wabaki na kazi ya kuandika miswada ya sheria na kuitetea serikali mahakamani au ofisi ya DPP ihamishiwe kwa AG or vice versa, ni mgongano wa maslahi kaka!
Mi kilaza sawa, wewe mwerevu twambie kama ni ofisi moja nini kinawagonganisha maana kuniita kilaza bila kutoa majibu halisi hakujibu hoja bali kunaakisi haiba yako dhaifu na uwezo mdogo wa kujenga hoja!Umeandika kitu usichokijua, Ofisi ya DPP ni sehemu ya ofisi ya AG kwanza hapo umeonyesha jinsi gani ulivyo KILAZA
Sasa kama kitu haukijui kwanini unakiongelea?Mi kilaza sawa, wewe mwerevu twambie kama ni ofisi moja nini kinawagonganisha maana kuniita kilaza bila kutoa majibu halisi hakujibu hoja bali kunaakisi haiba yako dhaifu na uwezo mdogo wa kujenga hoja!
Mie nakijua ndio maana nimeshare ninachokijua kwenye jamvi, huu ni mjadala wa wazi sio mahakamani, kila member anashare mawazo yake kuelekea muafaka, tunashare knowledge tofauti na wewe ambaye unatukana tu bila kusema unachodhani ndio sahihi! Yaani wewe unateleza tu kwa kucoment negatively bila kushare knowledge! Tukuiteje wewe kwa lugha yako wewe ya matusi, nikuiteje? Dumb, silly, idiot au tusemeje maana hueleweki dogo?!Sasa kama kitu haukijui kwanini unakiongelea?
Hujui lolote,acha kupotosha watu.Umepotosha hata jinsi hizi ofisi zinavyofanya kazi.Figisu za maslahi, ofisi ya DPP (polisi) siku hizi hawaendeshi kesi mahakamani na kwa hiyo kukosa machikicho yatokanayo na urasimu na hila kama hizo ulizosikia yule mjane akiziainisha kwa JPM jana!
Kazi ya kuendesha kesi mahakamani inasimamiwa na wanasheria wa serikali kutoka ofisi ya AG ambao kwa maana hiyo ndio wanaonufaika na kansa hiyo!
Chuki ni kwamba ofisi ya AG wananufaika visivyo halali; na kwa kuwa hiyo yote ni kazi haramu hakuna jinsi ya kuweka uwiano wa mgao wa mafao!
Polisi wanachukua risk zote za kukamata wahalifu, wakishakamata issue kwisha kazi wanakabidhi faili kwa AG, wanachapa mwendo! Vijana wa AG wanakula kwa ulaini ndani ya designer suits zao! kisa cha uhasama! Yaani vijana wa AG wanavuna kwenye shamba ambalo hawakulima, wanakula jasho la wenzao!?
Nionavyo, kazi ya kusaka, kukamata na kuendesha mashitaka irejee kwa DPP kikamilifu kwa sababu wao ndio wapelelezi wa kesi kuanzia shina, ofisi ya AG wakikosa ushirikiano wa DPP kwa sababu yoyote ile AG hatakaa ashinde kesi maisha yake hata wakiweka pale magenious wote wa dunia!
Ofisi ya AG wabaki na kazi ya kuandika miswada ya sheria na kuitetea serikali mahakamani au ofisi ya DPP ihamishiwe kwa AG or vice versa, ni mgongano wa maslahi kaka!
Funguka wewe unayejua, hapa hakuna medali ya dhahabu, tunabadilishana elimu tu, unadai sijui napotosha wakti na wewe huonyeshi lipi sahihi si bora mie niliyejaribu ningepata hata 5 ya attempt kuliko wewe uliyeandika jina tu kwenye karatasi ya mtihani!Hujui lolote,acha kupotosha watu.Umepotosha hata jinsi hizi ofisi zinavyofanya kazi.
Nakupa high 5 na like Nathason2 kwa kielelezo hicho, nimepata ufahamu zaidi lilipo tatizo!Naomba kuweka muundo wa ofisi ya AG hapa ili angalau kutoa mwanga wa kitu tunacho kijadili maana wengine hapa huenda wameshindwa kuelewa wanazungumza kitu gani hapa.
Na ili kuweka kumbukumbu vizuri hii miamba yote I mean AG na DPP wote ni wateule wa mh halafu mmoja kawekwa chini ya mwenzake ndio maana mtifuano unakuwa mkubwa FAHARI WAWILI HAWAISHI ZIZI MOJA.
Organization StructureView attachment 466757
hawa wote DPP na AG wanateuliwa na mh Rais halafu unategemea DPP awe loyal kwa AG wakati wote wameteuliwa na raisi wana mshahara na kila kitu kinacholingana kwa namna yoyote ile AG kwa kuwa ndiye accounting officer wa ATTORNEY GENERAL CHAMBER atakuwa anajaribu kumkumbatia DPP kwapani wakati DPP anajaribu kujinasua kama kuku aliyenaswa na kichecheNakupa high 5 na like Nathason2 kwa kielelezo hicho, nimepata ufahamu zaidi lilipo tatizo!
ukilaza wake uko wapi ndugu yangu au mna respond hata vitu ambavyo hamvijui yaani bora liende? nyie ndo mnapaswa kuombewa ban kitu hukijui unamshambulia mtu kana kwamba wewe ndiye mkweliUmeandika kitu usichokijua, Ofisi ya DPP ni sehemu ya ofisi ya AG kwanza hapo umeonyesha jinsi gani ulivyo KILAZA
Mwiba kwenye kidonda safi sanaUtapingaje kitu usichokijua kama sio janga weee!? Ukimpinga mtu isaidie jamii kwa kusema kilicho sahihi! Sio ohh hujui unachoongea wakati husemi mbadala ni nini! Kingereza ni lugha tu kama kiswahili au kimatengo, kama kinakugonga, mlaumu aliyekusomesha St Kayumba school , sio mimi na kwenye mijadala ya wazi ambako hakuna zuio la lugha sio mahali pako! Bs
Hayo mabadiliko ndo yale yaliyoletwa na the National Prosecutions Service Act, 2008?Figisu za maslahi, ofisi ya DPP (polisi) siku hizi hawaendeshi kesi mahakamani na kwa hiyo kukosa machikicho yatokanayo na urasimu na hila kama hizo ulizosikia yule mjane akiziainisha kwa JPM jana!