Ofisi ya Rais Mstaafu Kikwete yasikitishwa na habari zinazoenea, yasema kuwa hotuba ya Kikwete haikumlenga mtu

Ofisi ya Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete imeeleza masikitiko yake kuhusu upotoshaji unaofanywa na baadhi ya watu kuhusu hotuba aliyoitoa Kikwete kwenye Kongamano la Kumbukizi ya Miaka 20 ya kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere

Imesema kuwa mada ya Kongamano hilo ilikuwa ‘Urithi wa Mwalimu Nyerere katika Uongozi, Maadili, Umoja na Amani katika Ujenzi wa Taifa’ na Rais Mstaafu alieleza kwa namna alivyomfahamu Mwalimu Nyerere kulingana na mada hiyo

Ofisi hiyo imesema Rais Mstaafu Kikwete ameshangazwa na kusikitishwa kwa kujitokeza watu wanaopotosha ukweli kuhusu maneno yake na kuwepo wanaojaribu kumuwekea maneno wakidai eti alikuwa anawasema baadhi ya viongozi waliopo sasa

Aidha, ofisi imeeleza kuwa hakufanya ulinganifu kati ya Mwalimu na Marais walifuata baada yake, waliostaafu na waliopo sasa pia hakutaja jina la mtu yeyote, hivyo kusikia kuwa Rais Mstaafu alisema mtu ni jambo linalosikitisha ni uzandiki, fitna na Uchonganishi

Mwisho, Rais Mstaafu Kikwete amesema alitegemea watu wamkosoe kwa aliyoyasema na si kumsingizia na pia amewataka watu wenye maoni yao wawe wajasiri na kuyasema na sio kujificha katika kivuli cha hotuba yake

View attachment 1229421
Hivi kumbe rais mstaafu bado ana ofisi ya serikali. Sijui iko wapi hii ofisi.Pia ina maana hapa anayeongea siyo raisi mstaafu ila ni ofis ya rais mstaafu.
 
Ofisi ya Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete imeeleza masikitiko yake kuhusu upotoshaji unaofanywa na baadhi ya watu kuhusu hotuba aliyoitoa Kikwete kwenye Kongamano la Kumbukizi ya Miaka 20 ya kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere

Imesema kuwa mada ya Kongamano hilo ilikuwa ‘Urithi wa Mwalimu Nyerere katika Uongozi, Maadili, Umoja na Amani katika Ujenzi wa Taifa’ na Rais Mstaafu alieleza kwa namna alivyomfahamu Mwalimu Nyerere kulingana na mada hiyo

Ofisi hiyo imesema Rais Mstaafu Kikwete ameshangazwa na kusikitishwa kwa kujitokeza watu wanaopotosha ukweli kuhusu maneno yake na kuwepo wanaojaribu kumuwekea maneno wakidai eti alikuwa anawasema baadhi ya viongozi waliopo sasa

Aidha, ofisi imeeleza kuwa hakufanya ulinganifu kati ya Mwalimu na Marais walifuata baada yake, waliostaafu na waliopo sasa pia hakutaja jina la mtu yeyote, hivyo kusikia kuwa Rais Mstaafu alisema mtu ni jambo linalosikitisha ni uzandiki, fitna na Uchonganishi

Mwisho, Rais Mstaafu Kikwete amesema alitegemea watu wamkosoe kwa aliyoyasema na si kumsingizia na pia amewataka watu wenye maoni yao wawe wajasiri na kuyasema na sio kujificha katika kivuli cha hotuba yake

View attachment 1229421
umeona wabongo waliokuwa wakipotosha jamii, jinga kabisa
 
Ila nimependa zaidi, jinsi alivyomalizia. "....kama watu wana maoni, ni vema wawe wajasiri wayaongee bila kujificha, kwenye kivuri cha hotuba..."

Respect!
 
Sawa kabisa. Ukipata unawekewa tick, lkn ukimkosesha wakati hadthi inajieleza mwanafunzi atahoji uhalali wa kosa lake. Kwa mfano unaulizwa ' Kwann Mh alitumia neno " kujimwambafy kwa watu wenye mamlaka ya nchi sio kitu kizuri" Utajibuje?
Jibu langu litategemeana na mategemeo na tafsiri yangu ya hali ya kisiasa hapa nchini. Hakuna jibu la moja kwa moja, ndo maana ofisi yake ikatolea ufafanuzi wa alichomaanisha.

Siasa hainaga majibu ya moja kwa moja ndo maana unawezeza tegemea uadui baina ya watu wawili kwenye siasa halafu wakawa marafiki au kinyume chake. Pole pole alitegemea siku moja atampokea mh lowasa kwa tabasamu?
 
Ofisi ya Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete imeeleza masikitiko yake kuhusu upotoshaji unaofanywa na baadhi ya watu kuhusu hotuba aliyoitoa Kikwete kwenye Kongamano la Kumbukizi ya Miaka 20 ya kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere

Imesema kuwa mada ya Kongamano hilo ilikuwa ‘Urithi wa Mwalimu Nyerere katika Uongozi, Maadili, Umoja na Amani katika Ujenzi wa Taifa’ na Rais Mstaafu alieleza kwa namna alivyomfahamu Mwalimu Nyerere kulingana na mada hiyo

Ofisi hiyo imesema Rais Mstaafu Kikwete ameshangazwa na kusikitishwa kwa kujitokeza watu wanaopotosha ukweli kuhusu maneno yake na kuwepo wanaojaribu kumuwekea maneno wakidai eti alikuwa anawasema baadhi ya viongozi waliopo sasa

Aidha, ofisi imeeleza kuwa hakufanya ulinganifu kati ya Mwalimu na Marais walifuata baada yake, waliostaafu na waliopo sasa pia hakutaja jina la mtu yeyote, hivyo kusikia kuwa Rais Mstaafu alisema mtu ni jambo linalosikitisha ni uzandiki, fitna na Uchonganishi

Mwisho, Rais Mstaafu Kikwete amesema alitegemea watu wamkosoe kwa aliyoyasema na si kumsingizia na pia amewataka watu wenye maoni yao wawe wajasiri na kuyasema na sio kujificha katika kivuli cha hotuba yake

View attachment 1229421

Pia soma
MZEE JK SISI WAUNGWANA TUNACHUKUA MAKUSUDIO YAKO KAMA ABAVYO AMETUFAFANULIA. ACTUALLY TULIFAHAMU HATA KABLA HUJAFAFANUA KUWA HUKUWA NA LENGO BAYA.

TATIZO NI HAWA WABONGO WA ZAMA HIZI MH! KAZI KWELI KWELI.

ENDELEA KUPUMZIKA MZEE WALA WASIKUCHAFUE, ULIYOYAFANYA HAPA NCHINI TUNA 'APPRECIATE' SANA.
 
Back
Top Bottom