Naomba niende kwenye mada binafsi naishi Dar es salaam kiukweli OFISI ya mkuu wa mkoa Dar ningependekeza serikali ijaribu kuboreshea iendane na hadhi ya Jiji kiukweli ukipita pale ni aibu majengo ya kizamani ukiangalie na vile vigae hadhi inapungua ningeshauri mfanye jengo lenye hadhi kama lile la manispaa ya kinondoni pale magomeni usalama. Ni hayo tu ππ
Ni Aibu ofisi ya Jiji linalongoza kwa Collection ya mapato kuwa na Hali Mbovu, Yani Mmeshindwa ata Kufanya reallocation ya hela kidogo muweke Sawa hio ofisini hizo hela mnapeleka wapi Ile Hali mtaani hakuna ata ongoing tangible projects
Wanajenga mpya Magomeni π π π
Ofisi mbovu, chafu na imekaa location mbaya, yaani Ofisi ya wilaya ya Kinondoni ni nzuri mara 1000000000 kushinda ofisi ya mkoa