Ofisi ya CHADEMA Same Magharibi yabadilishwa kuwa ya CHAUMMA

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,437
Reaction score
5,235
Mali za Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Jimbo la Same zimetolewa nje katika iliyokuwa ofisi ya chama ya jimbo hilo kwa kile kilichoelezwa ni kutokulipwa kwa kodi kwa miezi sita.

Leo Julai 17, 2025 wameonekana mafundi wakipaka rangi na kufuta majina pamoja na rangi za CHADEMA ili ibadilishwa kuwa ya Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA)

Jambo TV imemtafuta Katibu wa CHADEMA jimbo la Same Magharibi, Mohamedi Mnandi akatueleza kuwa wamekuwa na mazungumzo na CHAUMMA na wakaamua kuwaachia ofisi hizo.

Hata hivyo amesema mwanzo miongoni mwa waliokuwa wanachama wa CHADEMA aliyehamia CHAUMMA alitaka kubadilisha jina la ofisi hiyo kuwa ofisi ya CHAUMMA kwa siri.

“ofisi tumeamua kuwasamehe tumetafuta sehemu nyingine sisi watu wa CHADEMA jana tulikuwa Polisi tumeandikishana polisi kwamba huyu katibu wa zamani tumuachie tunawadai viti 20 watupe viti vyetu tuwaachie” amesema Mnandi

Aidha Jambo TV imemtafuta Mwenyekiti wa CHAUMMA Mkoa wa Kilimanjaro ambaye ni mtia nia wa Ubunge kwa jimbo la Same Magharibi bwana Gervas Mgonja akatueleza kuwa ofisi hiyo alikuwa akiilipia kodi kwa miaka 12 na mwaka huu alipoamua kuhama kutoka CHADEMA aliacha kulipa kodi hiyo.

“mwenye nyumba alisema anataka alipwe kodi nikamwambia Katibu wangu wa jimbo wa CHAUMMA kama ni kulipa nilipe kama ofisi ya CHAUMMA na asaini mkataba wa CHAUMMA”

Mgonja amesema mmiliki wa nyumba ambayo wamepanga ofisi alimfuata akimuuliza kuhusu deni la miezi sita ambalo anadaiwa (kuanzia novemba 2024 mpaka April 2025) huku akimuuliza kama ana mpango wa kuongeza mkataba akakubali mkataba ukaandikwa lakini ofisi ikipangwa kwa matumizi ya CHAUMMA.

“Leo amekuja na mkataba wa CHAUMMA tukawaita vijana wa CHADEMA kuchukua vitu vyao ambavyo ni makaratasi kwa sababu samani(furniture) zote ni mimi niliweka” ameongeza Mgonja
 
..Ni ofisi ya kupanga.

..mwanzo walipangishwa Chadema.

..sasa wamepangishwa Chaumma.

..mali za Chadema zimepigwa kufuli na mahakama. Ukicheza nazo imekula kwako.
 
mchome na wanachaumma wa kaskazini ni watu wabad sana aise dah !

kuibaka ofisi ya chadema na kuisilimisha kua CHAUMMA sio mchezo ndugu wadau?🐒
 
Ninauza nyumba yangu hapa vikindu nyuma ya mtaa wa polisi mwenye uhitaji unipigie 0625784681. Au wasap 0673294681. Ni nyumba ina apartments 2 na vyoo ndani.

Bei tsh. 23,000,000.00

Nitapunguza kidogo.
Nicheki wasap kama unahitaji picha na detailed information. Kataa mawinga.
 
Weka picha
 
Kama Chadema imeshindwa kulipa kodi ya chumba kimoja cha ofisi kwanini Chauma wasichukue
 
Mali za Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Jimbo la Same zimetolewa nje katika iliyokuwa ofisi ya chama ya jimbo hilo kwa kile kilichoelezwa ni kutokulipwa kwa kodi kwa miezi sita.

Leo Julai 17, 2025 wameonekana mafundi wakipaka rangi na kufuta majina pamoja na rangi za CHADEMA ili ibadilishwa kuwa ya Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA)

Jambo TV imemtafuta Katibu wa CHADEMA jimbo la Same Magharibi, Mohamedi Mnandi akatueleza kuwa wamekuwa na mazungumzo na CHAUMMA na wakaamua kuwaachia ofisi hizo.

Hata hivyo amesema mwanzo miongoni mwa waliokuwa wanachama wa CHADEMA aliyehamia CHAUMMA alitaka kubadilisha jina la ofisi hiyo kuwa ofisi ya CHAUMMA kwa siri.

“ofisi tumeamua kuwasamehe tumetafuta sehemu nyingine sisi watu wa CHADEMA jana tulikuwa Polisi tumeandikishana polisi kwamba huyu katibu wa zamani tumuachie tunawadai viti 20 watupe viti vyetu tuwaachie” amesema Mnandi

Aidha Jambo TV imemtafuta Mwenyekiti wa CHAUMMA Mkoa wa Kilimanjaro ambaye ni mtia nia wa Ubunge kwa jimbo la Same Magharibi bwana Gervas Mgonja akatueleza kuwa ofisi hiyo alikuwa akiilipia kodi kwa miaka 12 na mwaka huu alipoamua kuhama kutoka CHADEMA aliacha kulipa kodi hiyo.

“mwenye nyumba alisema anataka alipwe kodi nikamwambia Katibu wangu wa jimbo wa CHAUMMA kama ni kulipa nilipe kama ofisi ya CHAUMMA na asaini mkataba wa CHAUMMA”

Mgonja amesema mmiliki wa nyumba ambayo wamepanga ofisi alimfuata akimuuliza kuhusu deni la miezi sita ambalo anadaiwa (kuanzia novemba 2024 mpaka April 2025) huku akimuuliza kama ana mpango wa kuongeza mkataba akakubali mkataba ukaandikwa lakini ofisi ikipangwa kwa matumizi ya CHAUMMA.

“Leo amekuja na mkataba wa CHAUMMA tukawaita vijana wa CHADEMA kuchukua vitu vyao ambavyo ni makaratasi kwa sababu samani(furniture) zote ni mimi niliweka” ameongeza Mgonja
Chadema mtajuta kuwachagua viongozi wasiokuwa na dira wala maono.
 
Hivi kumbe CHAUMA wako serious hivi..!!mhnh chadomo kwisha KAZI Yao!!
Wako serious wamefanya mikutano huku kwetu.Wamewanulia watu sahani za ubwabwa kutoka kwa mama ntilie.Wanafanya siasa kibosi sana.Wanaruka kwa chopper
 
Back
Top Bottom