Ni kweli. Na tunaendelea kufuatilia. Hata bendera za chama zimechanwa. Nafikiri juzi mwenyekiti wao alipofunua siri ya walivyokuwa wakitumia polisi kudhibiti upinzani kwa kuteka, kutesa, kuua na kushambulia kama hivi, hakuwa amewanda wenzake. Pia kama akasahau kuondoa amri waliyokwisha kuwapatia polisi ya kukubali kutumika.
Lakini pia huenda yale yalikuwa maneno ya jukwaani, bila msaada wa matumizi ya dola, hasa UWT na polisi, CCM hakipo, hata kesho tu kinaanguka. Maneno ya jukwaani lakini walivyoingia ndani walisistiza status quo.
Ruaha, kwa wale wasiojua, leo si mara ya kwanza, wafuasi, wanachama na viongozi wamekuwa harassed mara nyingi sana, wamebambikiwa kesi mara kadhaa, kisa ni kwamba katika centre ile kubwa, ikiwakilisha kata ya Ruaha, magamba wamekataliwa big time hujapata kuona.
Stori inaanzia wakati wa uchaguzi wa kijiji...ambapo