notorious big
Member
- Jan 11, 2012
- 5
- 1
Ofisi ya CHADEMA kata ya Ruaha wilaya ya Kilosa imevamiwa na kuharibiwa vitu katika ofisi hiyo na baadhi ya vitu inasemekana havijapatikana hadi sasa, pia inasemekana kuwa jeshi la polisi ndio wamefanya hivyo.
UKOMBOZI SI KAZI RAHISI HATA KIDOGO, ndio maagizo hayo ya katibu wao mkuu kinana, aliwaagiza polisi wafanye hivyo kucheki kama kuna meno ya tembo na pembe za ndovu ili asafirishe
kinana at work.
Wengine wamehukumiwa kunyongwa hadi kufa kabisa, shauri yao. Waendelee kutumuwa.UKOMBOZI SI KAZI RAHISI HATA KIDOGO, ndio maagizo hayo ya katibu wao mkuu kinana, aliwaagiza polisi wafanye hivyo kucheki kama kuna meno ya tembo na pembe za ndovu ili asafirishe
kinana at work.
Ni kweli. Na tunaendelea kufuatilia. Hata bendera za chama zimechanwa. Nafikiri juzi mwenyekiti wao alipofunua
Tumain kiongoz wangu nafurai kwa kuwa mnajua kinachoendelea ruaha lakn naomba kujua kama kuna msaada wowote kwa yule mgombea wa cdm aliyeko mahabusu kwa kucngzwa
Ni kweli. Na tunaendelea kufuatilia. Hata bendera za chama zimechanwa. Nafikiri juzi mwenyekiti wao alipofunua siri ya walivyokuwa wakitumia polisi kudhibiti upinzani kwa kuteka, kutesa, kuua na kushambulia kama hivi, hakuwa amewanda wenzake. Pia kama akasahau kuondoa amri waliyokwisha kuwapatia polisi ya kukubali kutumika.
Lakini pia huenda yale yalikuwa maneno ya jukwaani, bila msaada wa matumizi ya dola, hasa UWT na polisi, CCM hakipo, hata kesho tu kinaanguka. Maneno ya jukwaani lakini walivyoingia ndani walisistiza status quo.
Ruaha, kwa wale wasiojua, leo si mara ya kwanza, wafuasi, wanachama na viongozi wamekuwa harassed mara nyingi sana, wamebambikiwa kesi mara kadhaa, kisa ni kwamba katika centre ile kubwa, ikiwakilisha kata ya Ruaha, magamba wamekataliwa big time hujapata kuona.
Stori inaanzia wakati wa uchaguzi wa kijiji...ambapo