Ofisi ya CHADEMA kata ya Ruaha yavamiwa

notorious big

Member
Jan 11, 2012
5
1
Ofisi ya CHADEMA kata ya Ruaha wilaya ya Kilosa imevamiwa na kuharibiwa vitu katika ofisi hiyo na baadhi ya vitu inasemekana havijapatikana hadi sasa, pia inasemekana kuwa jeshi la polisi ndio wamefanya hivyo.

attachment.php

attachment.php

attachment.php
 
Attachments

  • chadema photo  1.jpg
    chadema photo 1.jpg
    24.6 KB · Views: 1,643
  • chadema photo  2.jpg
    chadema photo 2.jpg
    43.2 KB · Views: 3,579
  • chadema photo  3.jpg
    chadema photo 3.jpg
    21.1 KB · Views: 1,644
UKOMBOZI SI KAZI RAHISI HATA KIDOGO, ndio maagizo hayo ya katibu wao mkuu kinana, aliwaagiza polisi wafanye hivyo kucheki kama kuna meno ya tembo na pembe za ndovu ili asafirishe

kinana at work.
 
UKOMBOZI SI KAZI RAHISI HATA KIDOGO, ndio maagizo hayo ya katibu wao mkuu kinana, aliwaagiza polisi wafanye hivyo kucheki kama kuna meno ya tembo na pembe za ndovu ili asafirishe

kinana at work.

Naona Magamba sasa wamechanganyikiwa ndo maana wameachana na ilani yao sasa wameanza kutangaza sera za CHADEMA.
 
Polisi kweli wanatafutaga Kadi za CHADEMA. Naskia moja ni buku 5....kw bei ya mtaani. Akipata lundo, hapo unaongea hela ndefu
 
UKOMBOZI SI KAZI RAHISI HATA KIDOGO, ndio maagizo hayo ya katibu wao mkuu kinana, aliwaagiza polisi wafanye hivyo kucheki kama kuna meno ya tembo na pembe za ndovu ili asafirishe

kinana at work.
Wengine wamehukumiwa kunyongwa hadi kufa kabisa, shauri yao. Waendelee kutumuwa.
 
Muziki wa chadema uko mioyoni mwa watanzania, kwa hilo wamechemka.mimi nina mtoto wa miaka 2 ni marufuku kuvaa nguo ambayo siyo gwanda.ipo siku nchi hii itakombolewa.
 
Ni kweli. Na tunaendelea kufuatilia. Hata bendera za chama zimechanwa. Nafikiri juzi mwenyekiti wao alipofunua siri ya walivyokuwa wakitumia polisi kudhibiti upinzani kwa kuteka, kutesa, kuua na kushambulia kama hivi, hakuwa amewanda wenzake. Pia kama akasahau kuondoa amri waliyokwisha kuwapatia polisi ya kukubali kutumika.

Lakini pia huenda yale yalikuwa maneno ya jukwaani, bila msaada wa matumizi ya dola, hasa UWT na polisi, CCM hakipo, hata kesho tu kinaanguka. Maneno ya jukwaani lakini walivyoingia ndani walisistiza status quo.

Ruaha, kwa wale wasiojua, leo si mara ya kwanza, wafuasi, wanachama na viongozi wamekuwa harassed mara nyingi sana, wamebambikiwa kesi mara kadhaa, kisa ni kwamba katika centre ile kubwa, ikiwakilisha kata ya Ruaha, magamba wamekataliwa big time hujapata kuona.

Stori inaanzia wakati wa uchaguzi wa kijiji...ambapo
 
Hiyo ndo kazi ya safu mpya ya uongozi wa ccm! Ccm hawawezi kushindana na cdm katika uwanja sawia! Ccm hawalipendi taifa letu,wapo tayari kujeruhi na kuua ili waendelee kutawala! Ccm is a national disaster!
 
Wameanza kazi ya kubambikizia watu kesi,wanaweza kuficha hata bangi ofisi kisha wakirudi wawakamate viongozi wa CHADEMA kwa kosa la madai.Kuweni attention Makamanda kote nchini,mnapoona watu msiowafahamu wakirandaranda ofisi za chama be alarmed kama makamanda wa CHADEMA-SAUT muda wote wapo active dhidi ya magamba
 
Jana mapoliccm yalijazana ofic za CHADEMA yanataka tena kuvunja. Katika mtiti huu CDM hawahusiki kabisaaaa. Wananchi hawataki kuburutwa.
 
tuna updates mlioko Ruaha, chadema kanda husika tunaomba mtupatie taarifa za kina juu ya diwani huyu na hatua mlizochukua
 
Watu wameshachoshwa na kitendo cha CHADEMA kuyaweka rehani maisha ya wananchi.
 
Kwenye hicho kibanda polisi walikuwa wanatafuta nini sasa? Sidhani kama kutakuwa na la maana sana humo.
 
Ni kweli. Na tunaendelea kufuatilia. Hata bendera za chama zimechanwa. Nafikiri juzi mwenyekiti wao alipofunua
Tumain kiongoz wangu nafurai kwa kuwa mnajua kinachoendelea ruaha lakn naomba kujua kama kuna msaada wowote kwa yule mgombea wa cdm aliyeko mahabusu kwa kucngzwa
 
Ni kweli. Na tunaendelea kufuatilia. Hata bendera za chama zimechanwa. Nafikiri juzi mwenyekiti wao alipofunua siri ya walivyokuwa wakitumia polisi kudhibiti upinzani kwa kuteka, kutesa, kuua na kushambulia kama hivi, hakuwa amewanda wenzake. Pia kama akasahau kuondoa amri waliyokwisha kuwapatia polisi ya kukubali kutumika.

Lakini pia huenda yale yalikuwa maneno ya jukwaani, bila msaada wa matumizi ya dola, hasa UWT na polisi, CCM hakipo, hata kesho tu kinaanguka. Maneno ya jukwaani lakini walivyoingia ndani walisistiza status quo.

Ruaha, kwa wale wasiojua, leo si mara ya kwanza, wafuasi, wanachama na viongozi wamekuwa harassed mara nyingi sana, wamebambikiwa kesi mara kadhaa, kisa ni kwamba katika centre ile kubwa, ikiwakilisha kata ya Ruaha, magamba wamekataliwa big time hujapata kuona.

Stori inaanzia wakati wa uchaguzi wa kijiji...ambapo

Sijakuelewa...umeandika kama ulikuwa unakimbizwa
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom