Ofisi ya CHADEMA kata ya Ruaha yavamiwa

Watu wameshachoshwa na kitendo cha CHADEMA kuyaweka rehani maisha ya wananchi.

Hivi kwenye Kijiji cha Ruaha hakuna wagombea wenye sifa hadi huyo wa CCM wampitishe kwa mizegwe bila kupingwa kwa kuwaengua mgombea wa chadema? CCM mnahatarisha Amani ya Taifa letu wajinga nyie, kwanini hamuwezi kushindana na chadema kwenye uwanja sawia? kwanini mnaazisha vurugu zisizokuwa za lazima kwa uwenyekiti wa kijiji tu? Nchi itakuwaje?
 
Hawa ccm wanatapatapa maana walidhani moro ni ngome yao sasa hali siyo!! Asante Mungu kwa uamsho ccm wamekwisha.
 
Mungu tuepushe na zahama hii ya walinzi wetu kuwa watu wanaotuhujumu badala ya kutulinda.
 
Bila wao kujijua, waache waendelee kutupigia 'promo' na kutupatia umaarufu ... wamesahau, sauti ya wengi ni sauti ya MUNGU!
 
hivi kwa wanini CDM tukichukua nchi tuvunje jeshi la polisi tanzania nzima.
 
Sijakuelewa...umeandika kama ulikuwa unakimbizwa

Polishi hao niliwaona hapo ofisini za Chadema wakiwa wamejiandaa kwa miripuko kumripua mwandishi yeyote ambaye angeleta kiherehere kama walivyofanya kwa marehemu Mwangosi Daudi.
Ninazo hizo picha za mmoja wao ikibidi nitaziani.
 
Poleni sana, wana wa Ruaha kwa hili kamwe halitaenda bila kulisemea/KULAANI na sasa tumeshajua nani katao amri, hii amri toka kwa kinana na wauaji wenzake kwamba watishie watu na kuwambikizia kesi za kila namna ili waonekane ndio wabaya.
kwa wale mlio ONA leo taarifa habari saa mbili ucku ITV NI KWAMBA CCM/MAGAMBA WAMEAGIZA MGOMBEA WA CDM AWEKE LUPANGO HENCE CCM WAMPITSHE MWENZAO BILA KUPINGWA HII NDIO KIINI CHA UGOMVI ILA NIMEFURAHI KI2 KIMMOJA KWAMBA WANANCHI WAMEKATAA KUBURUZWA NA HAO MAJIZI WA CCM.
SHAME UPON THEM
KINANA NA TIMU YAKO TUMEONA KAZI ENDELEA MAANA HAKIKA UTALIPA SIKU USIOJUA "AIBU IWE JUU YA VIONGOZI NA WAFUASI WOTE WA CCM, WAWE SIKU ZOTE NI WATU KUPATA AIBU KWA KILA JAMBO NA WAKOSE KIBALI MACHONI PA MUNGU NA WATZ NA WATU WOTE WASEME AMEN"

TUMAINI MAKENE NAOMBA UTUELEZE KINACHOENDELEA NA HQ YA CDM WATUME WAWAKILISHI HUKO THEN TUWATIE MOYO HAO WAZALENDO
 
Hawa ccm wanatapatapa maana walidhani moro ni ngome yao sasa hali siyo!! Asante Mungu kwa uamsho ccm wamekwisha.

Wakili wa CDM Moro, Kamanda wa Red Brigade mkoa na Katibu wa Mbunge wa V/Maalum Morogoro Mhe: Susan Kiwanga wameingia Ruaha na kukutana na mapolic ili kuwasilisha TAMKO lao kupinga unevu wa wazi unaofanyika dhidi ya CDM.
 
Back
Top Bottom