USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 12,231
- 28,955
Hahhaha inaonekana ni nyumba ya mtuNamjua mmiliki wa hiyo nyumba sio mbaya kama mmepanga hapo[emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
USSR
Hahhaha inaonekana ni nyumba ya mtuNamjua mmiliki wa hiyo nyumba sio mbaya kama mmepanga hapo[emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nijuavyo mimi, dhambi ya kumkufuru roho mtakatifu, hiyo haitasamehewa!!Upo sahihi dhambi ni dhambi ,ila Je wajua Kuna dhambi ambayo Mungu mwenyewe Kasema hatokaa kuisamehe hata kama aloitenda ataomba Msamaha na kutubu Kwa kujichanachana na wembe ??
Vizuri kabisaa umepatia .Kwa nijuavyo mimi, dhambi ya kumkufuru roho mtakatifu, hiyo haitasamehewa!!
Au kuna nyingine?
Ujenzi mbovu huo wa paa la angle 70 mahala ambapo hakuna snow na wala hawategemei kuwa na attic.View attachment 2530948
Wakati vyama vingine vya siasa vikipora majengo ya Umma na kuyafanya mali zao , ama kurithishwa majengo ya viongozi waliokufa na kuyapiga rangi , Hali ni tofauti kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
Hilo linafanana na jengo la Bavicha pale Ikelu Makambakojohnthebaptist tupe maoni ya Mzee Mgaya kuhusu huu mjengo wa Chadema
Duh upauaji wakijinga na kishamba SANAView attachment 2530948
Wakati vyama vingine vya siasa vikipora majengo ya Umma na kuyafanya mali zao , ama kurithishwa majengo ya viongozi waliokufa na kuyapiga rangi , Hali ni tofauti kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
Ofisi ya kata inakutoa roho !Mmeamua kuudanganya umma kwa kujibanza kwenye mjengo wa mtu, hapo naona nyumba ya vyumba 3,sebule, choo, jiko, bafu na stoo!
Vipi kaburi la JPM limejengwa kwa angle Gani? Ujuaji mwingi wakati hauna mchango wowote kwenye taifa mpaka umestaafu.Ujenzi mbovu huo wa paa la angle 70 mahala ambapo hakuna snow na wala hawategemei kuwa na attic.
Nyumba ya mtu imegeuka ya SACCOS hii nyumba ipo barabarani tu maeneo mengiya kuanzia Isyonje hadi ndaga bendera zinasimikwa kwenye nyumba nyingi tu ambazo si nyumba za vyama vya siasa, hapo ni kijiwe cha SACCOS na si office hata nyumba yenyewe imejengwa kama nyumba ya kuishi na sio ofisi, acheni mwembwe za uongo.View attachment 2530948
Wakati vyama vingine vya siasa vikipora majengo ya Umma na kuyafanya mali zao , ama kurithishwa majengo ya viongozi waliokufa na kuyapiga rangi , Hali ni tofauti kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
Pumbavu wewe mwenye ajenda moja tu ya Magufuli kufariki huna hadhi ya kuchangia hapa kwa maendeleo ya nchi. Wewe kaburi la mama yako au la babu yako limejengewa chochote kama siyo nyasi tupu?Vipi kaburi la JPM limejengwa kwa angle Gani? Ujuaji mwingi wakati hauna mchango wowote kwenye taifa mpaka umestaafu.
Unfortunately, My mom is still alive and kicking and obviously sitoweza kubali azikwe kwenye nyasi she's worth more than you useless scumbag.Pumbavu wewe mwenye ajenda moja tu ya Magufuli kufariki huna hadhi ya kuchangia hapa kwa maendeleo ya nchi. Wewe kaburi la mama yako au la babu yako limejengewa chochote kama siyo nyasi tupu?
Huo ni upumbavu tu kwani hata kama mama yako yoko hai lazima atafariki, na nina uhakika hatazikwa kabrui la heshima kama la Magufuli.Unfortunately, My mom is still alive and kicking and obviously sitoweza kubali azikwe kwenye nyasi she's worth more than you useless scumbag...
Sikujua kma na wewe huwa unajishusha hadhi kwa kiwango kama hiki.Vipi kaburi la JPM limejengwa kwa angle Gani? Ujuaji mwingi wakati hauna mchango wowote kwenye taifa mpaka umestaafu.
Ofisi ya makao makuu ya CHADEMA ndio inakitia chama chetu aibu, na kama ni hela ilipatikana ya kutosha kuweza kujenga ofisi yenye hadhi ya chama chetu. Kwenye ile ofisi viongozi wanakiaibisha sana chama.View attachment 2530948
Wakati vyama vingine vya siasa vikipora majengo ya Umma na kuyafanya mali zao , ama kurithishwa majengo ya viongozi waliokufa na kuyapiga rangi , Hali ni tofauti kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
Leo unakana maneno Yako? Si ulidai ni classmate so unamjua kuliko sisi "makuwadi wa mabeberu" hahaha kumbe na wewe ulikua unasambaza speculations. Kujifanya unamjua sana kumbe ulikua hujui lolote.Huo ni upumbavu tu kwani hata kama mama yako yoko hai lazima atafariki, na nina uhakika hatazikwa kabrui la heshima kama la Magufuli...
Mkuu maiti ni maiti tu doesn't matter itavalishwa Nini itaoza tu kma ya JPM inavyoliwa na funza. Cha msingi ni life after death, Mama yangu ni mtu wa Imani so I believe hata siku akiondoka ni straight up to heaven ila huyo ibilisi wenu kwa maovu aliyofanya (Unless he repented) ataenda kuzimu tu.Huo ni upumbavu tu kwani hata kama mama yako yoko hai lazima atafariki, na nina uhakika hatazikwa kabrui la heshima kama la Magufuli.
Mnyika kasema wataijenga 2024 maana watakua wameshajenga grassroot offices. Itajengwa ya Hadhi ya Chadema na ramani imewahi postiwa humu Ili iendane na CV ya chama.Ofisi ya makao makuu ya CDM ndio inakitia chama chetu aibu, na kama ni hela ilipatikana ya kutosha kuweza kujenga ofisi yenye hadhi ya chama chetu. Kwenye ile ofisi viongozi wanakiaibisha sana chama.