Hope, wamefanya makusudi kwa kuona hakuna manufaa yoyote. Kumbuka yule aliyeondoka alijidai kujenga ofisi mikoani eti ili asiwe mpangaji ktk majengo ya wale anaowakagua. Nadhani ilikuwa dili tu!Valid question
And this time they are underbudgeted sijui ndo itakuwaje
Hakika! Hiyo ofisi ina vijana ambao hawaendi kukagua, wanakwenda kutikisa ili walipwe accordingly. Sasa kama mtu yupo kwa siku tatu halafu anadai kakagua kwa mwezi mzima! Dah! Ukiona pilikapilika zao na wahasibu wakati wa ukaguzi ndo utajua hakuna ukaguzi, kuna kusawazishana. Wanatengewa hata budget ya lunch na hoteli, usafiri, nk. ukiuliza, kuna wakaguzi.hio kweli hata kwenye hizi hamashauri eti kazipa hati safi yaani wanawacheka kwa halmashauri nyingi wanasema hawajawahi ona ****** kama ofice ya CAG aisee yaani kwa jinsi inchi ilivyochoka hii huto tuvitu ambato CAG anatoa ni twakawaida sana hata mtu ambe hata knowledge ya ukaguzi angeweza sema lakini kazi yenyewe inayohitaji utaalamu hawafanyi au hawajui huwezi enda kwa halmashauri bila kufanya ukaguzi wowote unaenda kwa intenal auditor wa halmashauri unachukua report yake ndio unaitumia kama CAG sasa hio maana yake ni nini what do you expect hao jamaa watakupa repor ya kweli then hakuna haja ya kuwa na external aditor by law au accouting standard kwa nini wasikae kule wafanye hioAuditing mpaka wajiridhishe Auditing need testing of everything kuona kwa macho so kusimuliwa internal Auditor ni teammoja na wakurugenzi na DT mhasibu mkuu wa halmashauri unategemea watakua report ya kweli hii sio sawa
Ushauri: kwa halmashauri huku ndiko ambako hela nyingi ya serikali inaendda CAG anatakiwa kuwa na office/ mtu wao ambae hayupo kwenye system ya halmashauri na hajaajiriwa na mkurugenzi yeye ni independent kama hilo neno linavyo jieleza AU CAG ukifika muda wa ukaguzi team zao zihamie kwenye hamashauri kukagua waache longlongo za kusimuiwa na kuchukua tuvitabu tuwli kama evidence then hao wanainua wanajiandikia posho ya mwezi kumbe wamefanya kazi siku moja
Nimeanzisha uzi huu ili kila aliye na utaalamu, atueleze ni jinsi gani ofisi ya CAG inavyofanyakazi zake.
Bodi ya mikopo kulikuwa na madudu, vyuoni madudu, wizarani madudu.
Mambo ya ndani madudu: Lugumi, Vitambulisho, Uniform, ....
Huko wizara ya Kilimo: tusubiri skandali za vocha na ruzuku
Iliyokuwa wizara ya Sayansi: TCRA madudu, sijui COSTECH kukoje? Na vyuoni kwao kule Mandela madudu.
Waiziri mkuu na tamisemi zao madudu na sukari yao madudu tupu!
Wakati haya yanatokea, CAG alishajiwekea kitu kinaitwa value for money. Kwa mfano wa wanafunzi hewa, nilitegemea awakague vyuoni na bodi ya mikopo kuona kama matumizi yao yanaendana na idadi ya wanafunzi. Vale for money.
Majengo yanayojengwa na mifuko ya jamii na daraja mashuhuri la Kigamboni, nilitegemea aone madudu yao pia.
Najiuliza ofisi hiyo ina mapungufu gani ya kitaalamu kiasi kwamba sasa ndo mambo yanafumuka nje ya ripoti yao?

Maana ya hatsafi no kuwa tatatibu zote za kihasibu zimefatwa watu wengi wanachanganya maswala ya hati safi au chafu na halmashauli kupata hadara au faidahio kweli hata kwenye hizi hamashauri eti kazipa hati safi yaani wanawacheka kwa halmashauri nyingi wanasema hawajawahi ona ****** kama ofice ya CAG aisee yaani kwa jinsi inchi ilivyochoka hii huto tuvitu ambato CAG anatoa ni twakawaida sana hata mtu ambe hata knowledge ya ukaguzi angeweza sema lakini kazi yenyewe inayohitaji utaalamu hawafanyi au hawajui huwezi enda kwa halmashauri bila kufanya ukaguzi wowote unaenda kwa intenal auditor wa halmashauri unachukua report yake ndio unaitumia kama CAG sasa hio maana yake ni nini what do you expect hao jamaa watakupa repor ya kweli then hakuna haja ya kuwa na external aditor by law au accouting standard kwa nini wasikae kule wafanye hioAuditing mpaka wajiridhishe Auditing need testing of everything kuona kwa macho so kusimuliwa internal Auditor ni teammoja na wakurugenzi na DT mhasibu mkuu wa halmashauri unategemea watakua report ya kweli hii sio sawa
Ushauri: kwa halmashauri huku ndiko ambako hela nyingi ya serikali inaendda CAG anatakiwa kuwa na office/ mtu wao ambae hayupo kwenye system ya halmashauri na hajaajiriwa na mkurugenzi yeye ni independent kama hilo neno linavyo jieleza AU CAG ukifika muda wa ukaguzi team zao zihamie kwenye hamashauri kukagua waache longlongo za kusimuiwa na kuchukua tuvitabu tuwli kama evidence then hao wanainua wanajiandikia posho ya mwezi kumbe wamefanya kazi siku moja
Ukiangalia thrd, inaomba kuelezwa ofisi hiyo ina mapungufu gani. Ktk makosa tunayoyafanya ni kuamini kwamba kila mtu ktk ofisi yake anafanya kazi nzuri sana na hastahili kukosolewa. Ukisema uzembe wake anajilinda kuonyesha perfection yake.Mm napingana na nyie wote hapo huu bilashaka labda kuna issue mmeelekezwa kuitoa lakini ukiangalia haya yote uyaonayo watumishi hewa cag alisharipoti kitambo sana tena kama sikosei alikuwa utouh ila serikali haikuchukua hatua stahiki kwa muda muafaka, issue za loan board utouh alishaziripot, halmashauri nyingi zimejirekebisha kutokana na report za ukaguzi za cag huko nyuma hali ilikuwa mbaya sana, kumbukeni cag aliwahikagua soko la Kariakoo na ubungo terminal tena ulikuwa niukaguzi maalum lakini hadi hii Leo report yake haikutolewa serikali! Kwa ufupi ninachokiona niserikali kuwa kimya au kuchelewa kufanyia kazi mapendekezo ya report ya CAG! Navilevile tuangalia pia primary duty ya cag sio kudetect errors and fraud yeye primary duty yake ni Kutoa independent opinion! Ndivyo tulivyofundishwa huko vyuoni au wenzetu mmepita vyuo gani hewa au? Na nibora tuwaachie wataalum watoe maoni yao kuliko sisi tusionaupeo na ukaguzi Kutoka mapovu kiasi hiki!