Punguza kudeka hapo sio nyumbani ni ofisini..Deeply sijawahi furahia ofisi nilopangiwa tangu nimeanza kazi ofisini tuko wawili tu,lakini dah Yani nilienae ofisini akibeba msosi anakula peke ake Wala karibu Hamna,
Ata bites anakula mwenyewe Hadi anamaliza actually sijawahi ifurahia ofisi yeye ni mkubwa mimi kama mdogo ake tumepishana kama 5 years,Kuna mda akininua kitu natamani kama hatoke mule ofisini akale huko amalize ndipo harudi ofisini lakini haiwezekani!!!
Wewe inaelekea ua akili MLEMBA!!Deeply sijawahi furahia ofisi nilopangiwa tangu nimeanza kazi ofisini tuko wawili tu,lakini dah Yani nilienae ofisini akibeba msosi anakula peke ake Wala karibu Hamna,
Ata bites anakula mwenyewe Hadi anamaliza actually sijawahi ifurahia ofisi yeye ni mkubwa mimi kama mdogo ake tumepishana kama 5 years,Kuna mda akininua kitu natamani kama hatoke mule ofisini akale huko amalize ndipo harudi ofisini lakini haiwezekani!!!
kakaDeeply sijawahi furahia ofisi nilopangiwa tangu nimeanza kazi ofisini tuko wawili tu,lakini dah Yani nilienae ofisini akibeba msosi anakula peke ake Wala karibu Hamna,
Ata bites anakula mwenyewe Hadi anamaliza actually sijawahi ifurahia ofisi yeye ni mkubwa mimi kama mdogo ake tumepishana kama 5 years,Kuna mda akininua kitu natamani kama hatoke mule ofisini akale huko amalize ndipo harudi ofisini lakini haiwezekani!!!
Sema kitu mkuuAiseeeh
Nyampala watayapima sna haya maji mpka kusazajela utaweza kweli wewe?