moyafricatz
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 2,905
- 4,944
Hatari sana
Anamlengeshea palepale katiHehe Dada nguo ya Blue Mungu anamuona
She actually did it on purposeHehe Dada nguo ya Blue Mungu anamuona
Sio yeye tu karibu wadada wote wanafanya kila wanachofanya kwa makusudi ili tu kumtia majaribuni mwanaume, Mungu anawaona mjue!She actually did it on purpose
Labda kuna kitu alikua anatakwa kwa huyo njemba, usimlaumuSio yeye tu karibu wadada wote wanafanya kila wanachofanya kwa makusudi ili tu kumtia majaribuni mwanaume, Mungu anawaona mjue!
Ampelekee moto tu .Labda kuna kitu alikua anatakwa kwa huyo njemba, usimlaumu
Ila kwa nn...??She actually did it on purpose
Hahaha daah hiyo ni picha, ila mini na wewe hatujui undani wa huyo manzi na njema, pengine ni mtu na mistress wakeIla kwa nn...??
Haoni ni risk sana kumfanya mwenzie awe 4G.
Hahaha kuninama huko hapana, huko sio kuinama mkuu ni kubinuaPengine alijiona mrefu hivyo ikamlazimu ainame ili watu wa nyuma yake nao waonekame vizuri kwenye Picha.
Kwani huyo baba nyuma yake anasemaje? Husbands for real needs prayerHehe Dada nguo ya Blue Mungu anamuona
Sio maombi tu, yaani wanahitaji maombi ya kuwafunga macho na masikio wanapokua nje ya nyumbaniKwani huyo baba nyuma yake anasemaje? Husbands for real needs prayer
Ameponzwa na ufupi wa Kochi alilotaka kulishika. Wala hakutarajia kubinua tako makusudi. Pia jambo zuri ni huyo jamaa wa nyuma nae wala hakujua mbele yake kama kuna mvuto.Hahaha kuninama huko hapana, huko sio kuinama mkuu ni kubinua
Dada nguvu iliyoko huko anaijua mwathirika. Sasa hapo huyo baba kamkosea nani huyo dada maana hapo hana ujanja.hapo hata photo kichwani ishayeyuka hayupo hapoSio maombi tu, yaani wanahitaji maombi ya kuwafunga macho na masikio wanapokua nje ya nyumbani
Pata picha kule chumbani anabinukaje?Hahaha kuninama huko hapana, huko sio kuinama mkuu ni kubinua