Ofisi Mpya ya WEMA SEPETU Hii HAPA

Ofisi Mpya ya WEMA SEPETU Hii HAPA

"Ukimwona kobe juu ya mti ujue kapandishwa".

Kesho unaweza kusikia amegombana na bwana ake, na kuambiwa arudishe hiyo ofisi, kama wafanyavyo pindi wanapokabidhiwa funguo za gari na kunyang'anywa...
 
Mkuu EMT ni kama ulikuwa kwenye akili yangu! ... mimi katika picha zote zimetafakari hiyo yenye vitabu .... huwa anasoma? ... na je kuna umuhimu gani wa kupamba vitabu ofisini ambavyo haviendani na akili yako? ... kama huvisomi ni kwa nini uvipambe?

IMG_4893-600x400.jpg


​

Nitatembelea hii ofisi & then nitakuja ku-comment,
 
Asije kuzitumia kujilia tunda la katikati tu, maana naye haaminiki kama Alshabab.
 
Ofisi nzuri sana. Huyu interior designer yuko very imaginative. Amefanya kazi ya kiwango cha juu sana. Hii ofisi uko sehemu gani jijini?
 
Hongera sana Wema! Utapunguza tatizo la ajira na pia utanyanyua wengi kisanii. BIG UP.
 
Hongera Wema....wewe mzuri lakini punguza mambo yaliyo below your standard............., manager's office next to kitchen aisee whoever planned that office to be..............!!

Chukua like!!
 
Mkuu EMT ni kama ulikuwa kwenye akili yangu! ... mimi katika picha zote zimetafakari hiyo yenye vitabu .... huwa anasoma? ... na je kuna umuhimu gani wa kupamba vitabu ofisini ambavyo haviendani na akili yako? ... kama huvisomi ni kwa nini uvipambe?

IMG_4893-600x400.jpg


​


Mimi hizo remote controls......
 
Waliokuita mal....................... sasa wakuombe radhi,focused women knows what they are doing!
 
Hayo makatani kichwani ndo yameni-pissy off.

Ivi ukiwa nae chumbani unayatoa kwanza au ?
 
pamoja na kasfa zote ila huyu dem anaonaga mbali
 
Ipo wapi asije kuwa anauzia sura kama ile nyumba yake.
 
Nimeskia kwenye station moja ya redio kuwa interior designing imecost 41 M. duuh..kweli...!!!
 
Back
Top Bottom