Ally Kombo
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 11,429
- 2,654
Hayo makatani kichwani ndo yameni-pissy off.
Ivi ukiwa nae chumbani unayatoa kwanza au ?
No ! Unayavuruga mpaka anaukuwa kama kinyago cha mpapure !
Hayo makatani kichwani ndo yameni-pissy off.
Ivi ukiwa nae chumbani unayatoa kwanza au ?
Mpaka apite kw PA aulizwe maswaliMkuu izo niaina flani ya faili, mwambie bos wako akuletee sample siyp kila siku muwe mnanunua faili zako za masumini uzilinganishe na za wema, ba da way WEMA uko juu, itabid diamond akitaka kuonana na wewe atume aplication na mpaka iwe aproved.....
Hivi Wema anajishughulisha na biashara gani hapa mjini?