Ofisi Mpya ya WEMA SEPETU Hii HAPA

Ofisi Mpya ya WEMA SEPETU Hii HAPA

Mkuu EMT ni kama ulikuwa kwenye akili yangu! ... mimi katika picha zote zimetafakari hiyo yenye vitabu .... huwa anasoma? ... na je kuna umuhimu gani wa kupamba vitabu ofisini ambavyo haviendani na akili yako? ... kama huvisomi ni kwa nini uvipambe?

IMG_4893-600x400.jpg


​

Mchina ametengeneza hayo ni makasha ya kuwekea CD, sio mnachokifikiria.
 
nice nice wema nakukubali sana aisee hakuna mkamilifu duniani piga kazi kwa sana tu, akifanya mabaya twasema mazuri twasema akikaa kimya twasema afanyaje jamani? bongo movie inalipa jamani ukizingatia ni bint mrembo kwa kila kitu huu ni ukweli ingawa wengine inakuwa ngumu kumeza kwa kuwa wana vinyongo, ukisikia paaa,,,,,,,,,,
 
Sawa ila nina walakini juu ya ofisi hii.Lakini pia Wema bado hajitambui yeye ni nani na anapaswa aweje....Kwa sasa sipendi kuanngalia movie za Wema kwa sababu ya tabia zake,kwani yeye kama mwalimu wa jamii kupitia uigizaji anapaswa kuwa kielelezo kwa jamii.Si Wema tu,hata waigizaji wengine wenye tabia za kufanana na za Wema.
 
Mi nadhani haya ni matangazo ya vifaa vya Ofisini,Wema anafanya matangazo ya vifaa vya Ofisini wala hakuna ofisi hapo,kama ipo ni ya nini?
 
Wema was a beautiful gal once. Before hajajibadilisha rangi yake. Bt nw nt anymore. Kwa kufungua ofisi i hope ana knowledge na hcho kitu.. If not bora akafanya shortcouse
 
Mkuu EMT ni kama ulikuwa kwenye akili yangu! ... mimi katika picha zote zimetafakari hiyo yenye vitabu .... huwa anasoma? ... na je kuna umuhimu gani wa kupamba vitabu ofisini ambavyo haviendani na akili yako? ... kama huvisomi ni kwa nini uvipambe?

Maigizo/usanii ndio fani ya mtanzania, kuanzia hukoo juuu hadi kwa mama ntilie. Kuna ulazima wa kusoma makabrasha manene? Chukulia huo upambaji wa vitabu,majarida ni katika usanii au maigizo ya mrembo Wema.

Unategemea msanii/muigizaji afanye nini kama sio maigizo?
 
Kwenye picha yenye vitofali vilivyopangwa kushoto kwake kama law reports?

Hapa mtu akimwandika vibaya anafanya consultation fasta.
nadhani ni encyclopedia
 
Hongera wema lakini Sijaelewa hizo nywele za zamaradi ni ndefu mpaka wap, khaa! dada zetu!
 
Wema amenikuna haswaaaa na mie mwanangu lazima nimpeleke bongo muvi
 
Ila wema analipa. Nikim'pataaaaaaaaaaa...

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
wanaume watu wabaya sana hapo keshachapwa wee jamaa kafungua ofisi kwa jina lake jamweka wema km mapambo tu ikipita miezi 3 hapo ukienda ulizia waweza kuta vitu tofauti vinafanyika hapo hahaa bongo zaidi ya uijuavyo!
 
Hongera wema kwa kutengeneza ofisi nzuri kuliko Filamu unazoigiza.
 
Mimi nimependa kwa Jitihada zake ila atulie afanyekazi kwani juhudi alizozionyesha.
 
Ni muendelezo wa kufungua makampuni! Heri mimi sio mkurugenzi!
 
Huyu Wema msanii tu,hivi lile jumba lake alilotuonyeshaga na Zamaladi limepotelea wap?hii nayo ni kiini macho kingine
 
Mbuzi Mzee akumbuke na kuweka mambo ya kodi sawa sawa. Kama yeye pamoja na wafanyakazi wake wanafika idadi ya watu wanne au zaidi; matumizi yote ya ujira kwa wafanyakazi wake atatakiwa alipie 6% kodi ya "Skills Development Levy". Kama anategemea mauzi yake yatazidi TShs.40 million; awahi kujiandikisha VAT. Kama kodi ya pango inazidi TShs 540,000 kwa mwaka akumbuke kodi ya zuio (Withholding Tax) ya asilimia 10% toka kwa mwenye nyumba wake. Akumbuke kuweka kumbukumbu zote za mapato na matumizi na kulipa kodi ya mapato ya 30% ya faida iliyohakikiwa
 
Last edited by a moderator:
Hongera zake...tunatumai ofisi yake itatoa kazi 'nzuri' kama ofisi yenyewe ilivyo nzuri!
 
Back
Top Bottom