
Mkuu EMT ni kama ulikuwa kwenye akili yangu! ... mimi katika picha zote zimetafakari hiyo yenye vitabu .... huwa anasoma? ... na je kuna umuhimu gani wa kupamba vitabu ofisini ambavyo haviendani na akili yako? ... kama huvisomi ni kwa nini uvipambe?Kwenye picha yenye vitofali vilivyopangwa kushoto kwake kama law reports?
Hapa mtu akimwandika vibaya anafanya consultation fasta.
Hongera Wema....wewe mzuri lakini punguza mambo yaliyo below your standard. Naona Ray mkorogo umekubali kiaina, manager's office next to kitchen aisee whoever planned that office to be must be sucked!!
"SUCKED"
kazi kwelikweli,hizi division zero zimeanza siku nyingi