Ofisi kuu CCM Mkoa wa Mbeya

Sugu hana pesa ya kujenga hata kilomita mbili za barabara.
Iliyojenga ni serikali kwenye utekelezaji wa miradi ya Kitaifa, Kimkoa n.k
Ni mbunge gani wa CCM kajenga barabara kwa pesa yake?
 
Sugu hana pesa ya kujenga hata kilomita mbili za barabara.
Iliyojenga ni serikali kwenye utekelezaji wa miradi ya Kitaifa, Kimkoa n.k
Ungemalizia serikali imejenga kutumia kodi zetu
 

Jengo hili lenye uzuri wa asili, halihitaji mkorogo, Wala hata kuoga, Ni jengo nechuro kabisa linapatikana Soko Matola, Mtaa wa Wageni nyumba namba 2, Opposite na Jengo la UMATI.
Mkuu pale rufaa jirani na chuo cha utumishi wamepanga au?
 
Certified idiot
 
Nje ya topic Bujibuji . Hivi unakumbukaga shirika la MECCO walikuwa na ofisi zao maeneo ya Forest kama sikosei. Je, kwa sasa majengo yao yapo? Au walibadilisha matumizi? Kwa sasa kuna ofisi gani?
 
Duh, miaka na miaka hawaiboreshi. Wacha tu CCM isipate kura mbeya, maana CCM wenyewe hawaipendi mbeya.
SUGU ni noma sana maana CCM hata ofisi yao mjini Mbeya wameikimbia
 
Vipi maeneo ya Isanga, Nonde, Mabatini, Simike, Nzovwe, Ikuti, Iyunga, Iyela, Mwanjelwa, Ilolo, Kalobe, Mbalizi, etc mji unazidi kutanuka na serikali ya CCM haifikirii kufanya planning. Only 27% wanaishi kwenye surveyed area.
Raisi wenu wa Mbeya anasemaji kuhusu hili?
 
Naskia toka mbeya town ichukuliwe na sugu hakuna maendeleo kabisa, eti wananchi wanasema mbeya nchi sugu raisi
Wana nchi yao na Raisi wao, halafu wanailalamikia serikali inayoongozwa na JPM wakati hawamtaki na hawamtambui itabidi wakapimwe akili
 
Yote hayo ni majengo ya UMMA yalipatikana wakati wa chama kimoja kilichokuwa kinakuwa funded na serikali na michango ya watanzania yote ya lazima... Lisu atayachukua yote na kuwa mali ya serikali johnthebaptist
 

Jengo hili lenye uzuri wa asili, halihitaji mkorogo, Wala hata kuoga, Ni jengo nechuro kabisa linapatikana Soko Matola, Mtaa wa Wageni nyumba namba 2, Opposite na Jengo la UMATI.
Kaka uongo ni mbaya sana... Hiyo kwa sasahivi ilishaboreshwa.... Nimetoka kugawa t-shirt pale siku Magufuli amekuja nimeingia ofice zote ni nzuri mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…