OFISA ELIMU TARIME MJI YUKO SELO

OFISA ELIMU TARIME MJI YUKO SELO

NJALI

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2014
Posts
1,534
Reaction score
1,091
Nimesikia Radio Free Kuwa Ofisa ELIMU Halmashauri ya MJI WA TARIME Kuwa yuko ndani ya nondo.

Aliemuweka ndani hajawatendea haki WALIMU WA Sekondari TARIME kwa sababu;

1.Huyu kigogo anadaiwa Pesa ya WALIMU Walio simamia na kusahihisha mtihani WA mock kidato cha NNE 2016 August.

2. Kigogo huyu anatuhumiwa kugawa vyeo kwa ukabila. Kuwashinikiza Wakuu wa SHULE kuwapatia vyeo akina Odongo, Okinyi,otieno,Odundo,Opioh,Odhiambo, Ogutu,Ochieng,Odeki n.k.

Kisa cha kigogo huyu kwa mujibu WA RFA ni matumizi mabaya ya madaraka kwenye Pesa ya Elimu bure.
 
IDD Amin nduli alianzaga hivi hivi mwishoni akala nyama za watu
 
Back
Top Bottom