Offline

mabina

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
216
26
MSAADA. Mashine yangu inasumbua kwenye outlook yangu, inaniambia iko offline nashindwa kutuma na kupokea Email. Nifanyeje? Mwenyeuwezo anisaidie
 
MSAADA. Mashine yangu inasumbua kwenye outlook yangu, inaniambia iko offline nashindwa kutuma na kupokea Email. Nifanyeje? Mwenyeuwezo anisaidie

Upande wa kushoto wa browser yako, mozilla au internet explorer, kuna sehemu pameandikwa file, bonyeza hapo.
Itatokea drop menyu, tafuta sehemu pameandikwa work offline, bonyeza hapo kuondoa alama ya tick (vema), hapo utaweza kupata mtandao
 
unatumia microsoft outlook? au outlook express? na version ipi? ila ukienda ktk file menu kuna option ya kuwa online au offline na kwa office 2007 au 2010 unaclick icon ya microsoft yenye alama ya windows @ top left corner
 
unatumia microsoft outlook? au outlook express? na version ipi? ila ukienda ktk file menu kuna option ya kuwa online au offline na kwa office 2007 au 2010 unaclick icon ya microsoft yenye alama ya windows @ top left corner[/

Natumia MS OUTLOOK kwenye Windows XP PROFESSIONAL SP3, OFFICE 2007
 
click file menu then then chini sub menu imeandikwa work offline na nyuma yake kuna tick sign, click hiyo ili iyo tick iondoke but wkt ukifanya hivyo ha
http://m.facebook.com/home.php?refsrc=http%3A%2F%2Fm.facebook.com%2F&refid=9&m_sess=1L1Efn-_VzsHl-7&_rdr
 
  • Thanks
Reactions: mja
make sure sure your connected to internet na check account settings kama ipo sawa, unatumia email protocal gani? imap,pop3 au exchange server? kama ni exchange bora uonane na network administrator wako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom