Ameishia form three nilisikia
Kabisa mkuu..akiweza hapo kweny kujieleza vizuri ,basi atapata deals nyingi tuKabisa
Huyu dada anachohitaji ni shule/exposure sasa ya namna ya kujielezea na kubehave na kupangilia maneno akiwa anaongea,sijui inakuwaje mtu anaongea namna ile
Inawezekana mkuu...hajui kujibu maswali...ana neno lake hilo very common..kila kitu akiulizwa anajibu it's normal
Sent using Jamii Forums mobile app