Official BBM on Android and Iphone devices

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,049
21,526
wakuu,
naona shimo limetema. sasa bbm inapatikana kwa android, naskia kwenye play store wameshaiweka(non-samsung android phones), ila mimi nimeipata kwa kufungua native browser nakuandika: BBM Share then utapata link za kudownload. au pia unaweza ukaipata kwenye samsung apps
 
not available in your country na hilo li bloatware la samsung app nilishalifuta zamani.

masikini wametutenga alopata apk inayofanya kazi aeke bas
 
not available in your country na hilo li bloatware la samsung app nilishalifuta zamani.

masikini wametutenga alopata apk inayofanya kazi aeke bas
  • ​Download kwenye link ya mediafire
  • Pakua toka Google Play & Apple store
    Code:
    [URL="http://global.blackberry.com/bbm/en.html"]BBM for Android & iPhone iOS is Here - Download BBM - BBM Global - English[/URL]
  • Au Pakua toka mediafire
​Android
Iphone
 
Nime download tayari but haijaanza kufanya kazi... nimefika kwenye setting wameleta ujumbe niandike e - mail watanijulisha natakiwa kusubiri.. why??
 
Aliyefanikiwa kupakua naomba ani PM nimpe PIN yangu,nahitaji kujua how does it lool like.
 
Nime download tayari but haijaanza kufanya kazi... nimefika kwenye setting wameleta ujumbe niandike e - mail watanijulisha natakiwa kusubiri.. why??

Kama ni hiyo tangu June ilikuwepo nilikuwa nimejaribu hamna kitu hapo..
 
Hapana mkuu chesco Matunda, jana jamaa wangu ana s3 amedownload fresh na inapiga mzigo fresh, nkikaa poa ntarusha screen shots, mi natumia bb so nachat nae hapa!
 
Last edited by a moderator:
Hapana mkuu chesco Matunda, jana jamaa wangu ana s3 amedownload fresh na inapiga mzigo fresh, nkikaa poa ntarusha screen shots, mi natumia bb so nachat nae hapa!

Ile link ulioweka pale juu nimesha pakua tatizo inasema network yangu haija connect sijui why? Kuhusu hiyo nilosema hamna kitu Angalia niliemnukuu inaonyesha tofauti naulioweka wewe.
 
Last edited by a moderator:
Kama ni hiyo tangu June ilikuwepo nilikuwa nimejaribu hamna kitu hapo..

kaka bbm imetoka ila kwa nchi chache nikiicheki store naambiwa not available in your country.

najua na mda huu huu wenye virusi na malware watatoa bbm za uwongo kuziteka simu zetu.

tusubirie mwenye apk ambayo kashaitest kabisa na sio za ku google
 
mbona mimi nimeipata kwenye play store mkuu ba iko poa tu.. na nimeipata jana kama saa 8 usiku hv.
 
Mimi nimejaribu kwenye iphone wanasema not available in my country.! Kuna anaejua lini itakua available huku kwetu?
 
Mi nimedownload kwa link hiyo hapo juu na niko online now
 
inapatikana kwenye play store imeistall kabisa ila nimeshindwa jinsi ya ku'sign up na kuanza kuitumia
 
BBM in android
 
Attachments

  • 1382468787253.jpg
    1382468787253.jpg
    21.7 KB · Views: 218
Back
Top Bottom