Offer yangu kwa wana MMU Oktoba hii

Offer yangu kwa wana MMU Oktoba hii

Nipande milima nivimbe miguu trh 25 nishindwe kumpigia edo kura? Hii offer next tym
 
Mmmh hizi ofa kama magumashi vile. Natamani kupanda ila kutembea masaa 7???? naona ngumu ingekuwa mawili au ma3 ningejitahd ila hayo 7 lbd na gari na hapo ntvimba miguu.
 
Kupanda mlima kilimanjaro si sawa na kwenda mbugani au kuogelea beach.
Ile ni adventure inayotesa, kama una afya mgogoro usifikirie hata kuwaza kupanda.
Nimepanda ule mlima kwa nyakati tatu tofauti, na kila wakati nafika hali ambayo najuta kwanini nilipanda.
Ukishuka ndo unafurahi lakini kule juu ni mateso tupu.

Kupanda ule mlima ni hobby nakiri siyo kazi rahis asee kuna baridi kali jinsi unavyozidi kupanda baridi nayo inaongezeka
My point is kwa wale ambao hawajawahi hata kuuona wapande hata kituo kimoja tuu inatosha siyo lazima apande vyote
 
Kwa upande wangu, baridi kali ipo Horombo huts ila huko juu baridi haikutesi ila kukosa hewa ndio kuna tesa zaidi.

Manake baridi huisikii tena kama umeweza ku- aclamatize na pale Horombo.
 
wengine tuna allergy na milima . . . have a nice trip
 
mimi nimepanda mlima kilimanjaro mwaka huu lakini tuliishia kwa Shira, Ila na mpango wa kupanda kufika kirereni kwenye barafu
 
Kwa upande wangu, baridi kali ipo Horombo huts ila huko juu baridi haikutesi ila kukosa hewa ndio kuna tesa zaidi.

Manake baridi huisikii tena kama umeweza ku- aclamatize na pale Horombo.

Duu mimi nilivyofika pale mandara (navyokumbuka panaitwa hivyo)nillishindwa hata kuandika jina pale cz mikono yote ilikua imekakamaa kwa baridi hata kushika pen ilikua tatizo lool ile safar ilikua kiboko japo nilienjoy
 
Sitakaa nipasahau horombo.
Wakati naenda kibo huts sikusikia baridi kabisa.
Ila pumzi ni kama nilikuwa naitafutia juu kwa juu.
 
Cku 7??? labda kama kuna mabox ya kupigia kura huko juu ili nipige kura
 
Sitakaa nipasahau horombo.
Wakati naenda kibo huts sikusikia baridi kabisa.
Ila pumzi ni kama nilikuwa naitafutia juu kwa juu.

Duu pole sana
Mimi nilipofika huko nilikunywa chai aseee acha tuuu mdomoni husikii kama ya moto ila ukimeza utumbo lazima utetemeke teh teh
 
Nili avoid kula kitu cha moto kwasababu unaweza ukawa unaungua usijue.
Ni mwendo wa maji ya glucose.
Sema pale gilmans point body pressure ilikuwa kubwa kuliko presha ya nje. Vidole vikawa vinapasuka damu inatoka.
 
Duuu kati ya vitu huwa sitamani na sitakaa nitamani ni kupanda milima, uwiii wenye hoby zenu pandeni tu.
 
Nili avoid kula kitu cha moto kwasababu unaweza ukawa unaungua usijue.
Ni mwendo wa maji ya glucose.
Sema pale gilmans point body pressure ilikuwa kubwa kuliko presha ya nje. Vidole vikawa vinapasuka damu inatoka.

Duu polee sanaa yako ilikua kali daa
 
Inaonekana uko laini?? Masaa 7 yanakushinda wenzio wanatembea zaidi ya masaa 15.Lakini najua kila mtu ana fani yake.!!

Back
Top Bottom